Tatizo la nchi kama Italy na Japan ni ‘High life expectancy’, kukuta watu wa maika 70,80 na 90 ni Jambo la kawaida kwenye nchi zilizoendelea, hivyo wengi wa wanaoumwa hufa maana Corona huuwa wazee zaidi..Tarehe 15 mwezi Feb Italy walikuwa na wagonjwa 3 wa Corona, leo wana wagonjwa 46,638.
View attachment 1397031
Hatua nzuri, lakini bado naona wauguzi na madaktari watakao wahudumia watu waliokutwa na ugonjwa huko karantini wanakuwa na hatari zaidi ya kuambukizwa.Ila si tumeshatoa amri ya Karantini siku 14 kwa gharama zake mwenyewe msafiri, awe na dalili au asiwe nazo?
Tarehe 15 mwezi Feb Italy walikuwa na wagonjwa 3 wa Corona, leo wana wagonjwa 46,638.
View attachment 1397031
Tumeshasema ni kwa gharama zake mwenyewe, so kabla hujasafiri kuja Tanzania utahakikishie kwamba una pesa za kutosha kwenye akaunti za kukutunza kwa siku 14, huna usije Tz.Hatua nzuri, lakini bado naona wauguzi na madaktari watakao wahudumia watu waliokutwa na ugonjwa huko karantini wanakuwa na hatari zaidi ya kuambukizwa.
Pia huduma tulizotakiwa kuwapatia wagonjwa wetu wa ndani tutaanza kuzigawa na kwa hawa tunao waruhusu sasa kuja kukaa karantini nchini kwetu.
Hatuwezi kuwaacha waugue na kufa kama kuku, mzigo unakuja kwa serikali yetu.
mipaka ifungwe
vinginevyo tutakuwa na wagonjwa wengi wa corona wanaokuja kuugulia huku tz.
Tulieni, tuko kwene rait trakHuku ndio kichaka cha kukimbilia wasipokuwa makini nakuchukua hatua stahiki za kufunga mipaka,kama mataifa mengine tutaangamia.
Tuombe Mungu atunusuru,ninachojiuliza,ina maana huko kote alikopita hawakuweza kugundua?au ndio katika ile mambo ya ngoja na wao waupate tuwe wengi...!!!Ila si tumeshatoa amri ya Karantini siku 14 kwa gharama zake mwenyewe msafiri, awe na dalili au asiwe nazo?
Hivi hawa wapuuzi (wazungu) wanalanda kwetu kutafuta nini kwanini wasikae kwao watulie... [emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amesema kuna mgonjwa mwenye dalili za maambukizi ya virusi vya corona ambaye amelazwa kwenye wodi maalumu katika hospitali ya Mawenzi mjini Moshi na tayari sampuli zake zimechukuliwa kwa uchunguzi zaidi.
Mama Mghwira amesema Mgonjwa huyo ni raia wa Sweden aliyeolewa na Mtanzania na alisafiri kwenda kwao likizo na wakati anarudi alipotia Marekani kwa siku 14
Haijajulikana ameambikizwa akiwa wapi kama ni Marekani au ni Sweden lakini aligundulika alipofika katika uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)
Tumetulia....tunakula tu ubuyu wa mabeberu!!!
Wa kike? Huyu kwa habari ameolewa na mtanzania.Kuna rafiki yangu mmoja raia wa Sweden anakaa sana kwa Wamasai huko.
Anajihusisha sana na mambo ya Wamasai.
Kama yeye vile.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Umeitaja Japani. Lakini japan wala hali siyo mbaya hivyo kama unavyotuaminisha na ndio inaongoza kuwa na wazee wengi...Tatizo la nchi kama Italy na Japan ni ‘High life expectancy’, kukuta watu wa maika 70,80 na 90 ni Jambo la kawaida kwenye nchi zilizoendelea, hivyo wengi wa wanaoumwa hufa maana Corona huuwa wazee zaidi..