Kilimanjaro: Raia wa Sweden ahofiwa kuwa na CoronaVirus sampuli zake zatumwa maabara Jijini Dar

Kilimanjaro: Raia wa Sweden ahofiwa kuwa na CoronaVirus sampuli zake zatumwa maabara Jijini Dar

Tumeshasema ni kwa gharama zake mwenyewe, so kabla hujasafiri kuja Tanzania utahakikishie kwamba una pesa za kutosha kwenye akaunti za kukutunza kwa siku 14, huna usije Tz.
Kwahivyo mnapotoa visa ya kutembelea nchini mmehakikisha anae ingia nchini ana pesa ya kukidhi mahitaji hayo?

Na kwa wale ambao wanatoka nchi ambazo hutumia Visa On Arrival tumechukua hatua gani? maana hawa wanakuwa tayari wameshaingia nchini na hatuwezi kuwaacha wafe kama wanyama wa porini lazima tutawapa huduma za matibabu na mengineyo.

Dawa ni kuzuwia tu wasiingie kabisa kwa kuujulisha ulimwengu na atakae wabeba abiria kuwaleta na ndege yake atawabeba kuwarudisha kama vile zengwe la Miguna wa Miguna.
 
Hiyo ni drastic measure ya kufunga mipaka (Total lockdown) ambayo i fear tutalazimika kuichukua, ila naogopa kwamba kama taifa tutafilisika tukifanya hivyo
 
Hiyo ni drastic measure ya kufunga mipaka (Total lockdown) ambayo i fear tutalazimika kuichukua, ila naogopa kwamba kama taifa tutafilisika tukifanya hivyo
Greece na Cyprus walifilisika miaka ya karibuni lakini hawakufa.
Maisha ni bora kuliko utajiri wa pesa.

Hapa tusifanye total lockdown ya local movements.
Na hiyo ya kuzuwia wageni turuhusu mizigo ya bidhaa mabalimbali na ndivyo wenzetu wanafanya wakiwemo Rwanda.
 
Walichukua hatua mapema na siyo kama wana strong health system.

Ukizungumzia kuhusu strong health system. Vipi na mmarekani?
Kuchukua hatua mapema si ndio strong health system au? Na huwezi chukua hatua mapema kama uchumi wako unategemea utalii kama sisi, hao Japan wanategemea zaidi uzalishaji viwandani, so u get the picture...
 
Mipaka ifungwe sasa. Tunaomba mamlaka za juu zighurikie mipaka kufungwa haraka. Japo tutakuwa tumechelewa kuchukua uamuzi huu. Lakini heri nusu shari kuliko shari kamili. Yasije yakatukuta ya Italy,wamevurugana. Ule ni mfano tosha duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi
 
Kiburi cha huyu mtu kitaangamiza taifa anastahili kukemewa, akina Ali, Mkapa, Kikwete wako wapi? Wameufyata? Tunasubiri nini kufunga mipaka sisi wajinga? Tufunge mipaka japo kwa miezi miwili! Wagonjwa wotewanatoka inji za nje! Pumbavu sisi kama taifa!
 
Back
Top Bottom