Kuna rafiki yangu mmoja raia wa Sweden anakaa sana kwa Wamasai huko.
Anajihusisha sana na mambo ya Wamasai.
Kama yeye vile.
Sent from my typewriter using Tapatalk
kwanini mnapenda kuyafanya mambo madogo kuwa makubwa?
Kwanini hampendi kukubali UHALISIA WA MAMBO?.
NI kwamba unaombea na sisi tuwe na wagonjwa wengi au ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahivyo mnapotoa visa ya kutembelea nchini mmehakikisha anae ingia nchini ana pesa ya kukidhi mahitaji hayo?Tumeshasema ni kwa gharama zake mwenyewe, so kabla hujasafiri kuja Tanzania utahakikishie kwamba una pesa za kutosha kwenye akaunti za kukutunza kwa siku 14, huna usije Tz.
Inawezekana wana scan wanaoingia tu kwao, sio wanaoondoka kuja kwetuTuombe Mungu atunusuru,ninachojiuliza,ina maana huko kote alikopita hawakuweza kugundua?au ndio katika ile mambo ya ngoja na wao waupate tuwe wengi...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado haujaingia mazima, wanastrong health system kama taifaUmeitaja Japani. Lakini japan wala hali siyo mbaya hivyo kama unavyotuaminisha na ndio inaongoza kuwa na wazee wengi...
Hiyo ni drastic measure ya kufunga mipaka (Total lockdown) ambayo i fear tutalazimika kuichukua, ila naogopa kwamba kama taifa tutafilisika tukifanya hivyoKwahivyo mnapotoa visa ya kutembelea nchini mmehakikisha anae ingia nchini ana pesa ya kukidhi mahitaji hayo?
Na kwa wale ambao wanatoka nchi ambazo hutumia Visa On Arrival tumechukua hatua gani? maana hawa wanakuwa tayari wameshaingia nchini na hatuwezi kuwaacha wafe kama wanyama wa porini lazima tutawapa huduma za matibabu na mengineyo.
Dawa ni kuzuwia tu wasiingie kabisa kwa kuujulisha ulimwengu na atakae wabeba abiria kuwaleta na ndege yake atawabeba kuwarudisha kama vile zengwe la Miguna wa Miguna.
Greece na Cyprus walifilisika miaka ya karibuni lakini hawakufa.Hiyo ni drastic measure ya kufunga mipaka (Total lockdown) ambayo i fear tutalazimika kuichukua, ila naogopa kwamba kama taifa tutafilisika tukifanya hivyo
Madhauri ya Wamasai, kwa mfano migogoro ya ya ardhi wafugaji na wakulima, maji, uongozi etc.
Wa kike. Kaolewa na Mtanzania.
Yaani sisi mkuu we just don't get it....Tarehe 15 mwezi Feb Italy walikuwa na wagonjwa 3 wa Corona, leo wana wagonjwa 46,638.
View attachment 1397031
Bado haujaingia mazima, wanastrong health system kama taifa
Kuchukua hatua mapema si ndio strong health system au? Na huwezi chukua hatua mapema kama uchumi wako unategemea utalii kama sisi, hao Japan wanategemea zaidi uzalishaji viwandani, so u get the picture...Walichukua hatua mapema na siyo kama wana strong health system.
Ukizungumzia kuhusu strong health system. Vipi na mmarekani?
YesIla si tumeshatoa amri ya Karantini siku 14 kwa gharama zake mwenyewe msafiri, awe na dalili au asiwe nazo?
Fanya umwulize, utupe feedback.Wa kike. Kaolewa na Mtanzania.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Uko sahihiMipaka ifungwe sasa. Tunaomba mamlaka za juu zighurikie mipaka kufungwa haraka. Japo tutakuwa tumechelewa kuchukua uamuzi huu. Lakini heri nusu shari kuliko shari kamili. Yasije yakatukuta ya Italy,wamevurugana. Ule ni mfano tosha duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu hata wanaume wanaolewa