Kilimanjaro: Serikali yakamilisha ukarabati wa Barabara ya KIA

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Ukarabati wa Barabara ya KIA, Kilimanjaro, umekamilika kwa lengo la kuboresha ubora wa miundombinu na kurahisisha usafiri kuelekea Kilimanjaro International Airport.

Mradi huo umeongeza usalama, kuboresha mwonekano wa barabara na kuweka mazingira bora zaidi kwa wananchi, wasafiri na wageni wanaotumia njia hiyo

IMG-20261027-WA0044.jpg
 
Waendelee na ya SINGIDA +BABATI+ARUSHA Yale mashimo yamevunya rekodi ya kimataifa yanazidi hata mashimo yaliyoachwa na wachimba dhahabu
 
Basi nyumbuz walivyobobea katika matumizi mabaya ya hasira, unaweza kukuta taarifa kama hii ikawakasirisha vya kutosha tu.
 
Maandalizi ya AFCON tu hayo...wanafunika kombe mwanaharam apite.
Kiwango cha ubora wa hizo barabara zinazokarabatiwa ni cha chini ile mbaya.
Afcon ikimalizika na mashimo barabarani yanaanza immediately
 
Waendelee na ya SINGIDA +BABATI+ARUSHA Yale mashimo yamevunya rekodi ya kimataifa yanazidi hata mashimo yaliyoachwa na wachimba dhahabu
Ile ya KIA inaliingizia taifa dola; ile ya Babati - Singida mbaazi. Priority iende wapi?
 
Basi nyumbuz walivyobobea katika matumizi mabaya ya hasira, unaweza kukuta taarifa kama hii ikawakasirisha vya kutosha tu.
Hako ni kakipande ka 6 kms tuu hakuna maajabu, muambieni huyo haramu akarabati/ajenge barabara kutoka dodoma hadi iringa kama ataweza!.
Au manyara kwenda singida...aache kudandia miradi ya mwendazake au kufanya vimiradi vidogovidogo!.
 
Halafu mi nikimsikia mtu anasema, "aache kudandia miradi ya mwenzake" hua nahitimisha kuwa huyo mtu ni shoga kuliko anko t. Kwanini aiache miradi ya mwendazake?!!!! Hivyo ndivyo serikalizinavyoendeshwa?!!!!
Wakati wa mwendazake ye alikuwa nani?!!!!

Kumaaaaaanina!!
 
😀😀 mkuu basi inatosha wamekuelewa aisee.
 
Back
Top Bottom