Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Ile ya KIA inaliingizia taifa dola; ile ya Babati - Singida mbaazi. Priority iende wapi?Waendelee na ya SINGIDA +BABATI+ARUSHA Yale mashimo yamevunya rekodi ya kimataifa yanazidi hata mashimo yaliyoachwa na wachimba dhahabu
Hako ni kakipande ka 6 kms tuu hakuna maajabu, muambieni huyo haramu akarabati/ajenge barabara kutoka dodoma hadi iringa kama ataweza!.Basi nyumbuz walivyobobea katika matumizi mabaya ya hasira, unaweza kukuta taarifa kama hii ikawakasirisha vya kutosha tu.
Halafu mi nikimsikia mtu anasema, "aache kudandia miradi ya mwenzake" hua nahitimisha kuwa huyo mtu ni shoga kuliko anko t. Kwanini aiache miradi ya mwendazake?!!!! Hivyo ndivyo serikalizinavyoendeshwa?!!!!Hako ni kakipande ka 6 kms tuu hakuna maajabu, muambieni huyo haramu akarabati/ajenge barabara kutoka dodoma hadi iringa kama ataweza!.
Au manyara kwenda singida...aache kudandia miradi ya mwendazake au kufanya vimiradi vidogovidogo!.
ππ mkuu basi inatosha wamekuelewa aisee.Halafu mi nikimsikia mtu anasema, "aache kudandia miradi ya mwenzake" hua nahitimisha kuwa huyo mtu ni shoga kuliko anko t. Kwanini aiache miradi ya mwendazake?!!!! Hivyo ndivyo serikalizinavyoendeshwa?!!!!
Wakati wa mwendazake ye alikuwa nani?!!!!
Kumaaaaaanina!!
Wanakera sana hawa mkuu. Tumchukie mtu, sawa, maana ndivyo nafasi za baadhi ya watu zinavyowatuma, lakini isiwe kwa kiwango ambacho hata tunachokiongea hatukielewi hata wenyewe.ππ mkuu basi inatosha wamekuelewa aisee.
Hakika.Wanakera sana hawa mkuu. Tumchukie mtu, sawa, maana ndivyo nafasi za baadhi ya watu zinavyowatuma, lakini isiwe kwa kiwango ambacho hata tunachokiongea hatukielewi hata wenyewe.