Kilimanjaro Stars 1 - 0 Malawi (CECAFA 2011)

Hussen javu kakosa goli baada ya kujiangusha akifikili refa atampa penalti. yeye baada ya kupiga shuti kajiangusha.
Beki yupo JUMA JABU JUMA NYOSO, ERASTO NYONI NA RAMADHAN CHONDO wote wanacheza kwa kuelewana. Mia
Mkuu Ramadhan Chombo anacheza namba kumi, beki mwingine ni Shomari Kapombe sema yeye amezoea kucheza kiungo ndo maana anapanda sana.
 
Huyu Ramadhani Chidondo ndie yule mwenye rasta kama niye yeye huyu jamaa nimzito kama amefungwa tofali miguuni ila kwa mipira ya juu utamtaka!

Unamaanisha Ramadhani Chombo " Redondo" ?
 
Wingi ya kushoto imekufa au haikuwepo kabisa...beki bado ni butua butua tu.
Ni dhahiri Ngassa amedumazwa na soka letu,sioni maendeleo yoyote kwa upande wake na sitashangaa Poulsen akiendelea kumweka benchi.

mi nahisi kiwango cha dogo kwa kiasi fulani kimeshuka ukilinganisha na alipokuwa yanga au nyie mnaonaje
 
Mi tangu nizaliwe sijawahi kuona timu inafungwa mechi mbili halafu inaingia robo fainali.
 
Mkuu Ramadhan Chombo anacheza namba kumi, beki mwingine ni Shomari Kapombe sema yeye amezoea kucheza kiungo ndo maana anapanda sana.
MHH RamadhaN chomo aka redondo ndio roho ta kili stars....yeye na mwinyi kazimoto.....anacheza namba 6 ni mpigaji mzuri wa pasi za mwisho...hilo jina redondo halipata kirahisi
 
mi nahisi kiwango cha dogo kwa kiasi fulani kimeshuka ukilinganisha na alipokuwa yanga au nyie mnaonaje

Hana kiu tena,anahisi ni kama ameshathibitisha kuwa ana kipaji lakini kikubwa ni udhaifu wa ligi yetu,haina changamoto.
Ngassa ameshuka kiwango kwa kukosa changamoto.
 
Hana kiu tena,anahisi ni kama ameshathibitisha kuwa ana kipaji lakini kikubwa ni udhaifu wa ligi yetu,haina changamoto.
Ngassa ameshuka kiwango kwa kukosa changamoto.

i think you are right hata mm nlikuwa nahis hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…