Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
bao zuri sana hadi nimejipigia na mimi kwangu
Umejipigia bao moja tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bao zuri sana hadi nimejipigia na mimi kwangu
MHH RamadhaN chomo aka redondo ndio roho ta kili stars....yeye na mwinyi kazimoto.....anacheza namba 6 ni mpigaji mzuri wa pasi za mwisho...hilo jina redondo halipata kirahisi
Umejipigia bao moja tu?
hivi kili ikishinda yanga watandelea kuizomea...?
Hiyo mkuu umetisha, lakini si alitokea Simba ndo akaenda Yanga labda amerudi kwenye timu yake ya zamani.Unafikili yanga tusingewapa mchezaji wetu NURDIN BAKAR simba leo mngepata wapi hilo goli? Hahahahaaaa....!!. Mia
Mkuu Ramadhan Chombo anacheza namba kumi, beki mwingine ni Shomari Kapombe sema yeye amezoea kucheza kiungo ndo maana anapanda sana.
hawatazomea coz nurdin kafunga..
Hiyo mkuu umetisha, lakini si alitokea Simba ndo akaenda Yanga labda amerudi kwenye timu yake ya zamani.
kwani Nurdin siyo simba..kama wanamzomea mgosi na samatta eti ni zao la simba wanasahau hata Nurdin nizao la simba...
KASEJA NINI TENAa!