Kilimanjaro Stars 1 - 0 Malawi (CECAFA 2011)

Kilimanjaro Stars 1 - 0 Malawi (CECAFA 2011)

mi bongo bwana subiri goli lirudi ndio mtajua kwamba malawi wanajua tusubiri fitina..
 
MHH RamadhaN chomo aka redondo ndio roho ta kili stars....yeye na mwinyi kazimoto.....anacheza namba 6 ni mpigaji mzuri wa pasi za mwisho...hilo jina redondo halipata kirahisi

ni kweli kiungo mzuri sana juzi nimeshangaa azam wana mtoa kwa mkopo kwenda moro...
 
Unafikili yanga tusingewapa mchezaji wetu NURDIN BAKAR simba leo mngepata wapi hilo goli? Hahahahaaaa....!!. Mia
Hiyo mkuu umetisha, lakini si alitokea Simba ndo akaenda Yanga labda amerudi kwenye timu yake ya zamani.
 
Mkuu Ramadhan Chombo anacheza namba kumi, beki mwingine ni Shomari Kapombe sema yeye amezoea kucheza kiungo ndo maana anapanda sana.

asante kwa kunielewesha mkuu. Nimekuelewa. halafu nakuomba uendelee kutujuza. sisi huku wametukatia umeme. Tanesco ni noumer.Mia
 
kwani Nurdin siyo simba..kama wanamzomea mgosi na samatta eti ni zao la simba wanasahau hata Nurdin nizao la simba...

hahahaaa....!!. Mkuu mimi nakusubili Rigi kuu. hawa cecafa wamekuja kutuhalibia viwango. wachezaji wetu wanawachosha bule kwani wasingekuwa wanacheza july au june ili tuwatumie na wachezaji wetu wakina nizar? mimi hii michuano hata siipendi sababu haina faida kwetu. Hawa tusker kwanini wasidhamin timu yetu ya wanawake. Mwakani wakachezee kenya. Mia
 
Kaseja hoi baada ya kutema shuti la malawi.
 
naona ulimwengu anapasha lakini mambo si mazuri sana kwetu jamaa wanakuja sana golini kwetu..
 
Huyu jabu hakuna kitu, ngassa anafanya kazi kubwa yeye anazingua.
 
enzi zile nikicheza kiungo nurdin alikuwa hakatizi kabisa.sasa hivi anawafunga wamalawi!!!
 
Back
Top Bottom