Basi kama ni hivyo kumbe dogo anacheza namba kibao uwanjani, maana alivyokuwa Simba alicheza tatu, kwenda Yanga akawa anacheza sita au nane, timu ya Taifa mara nyingi anacheza saba.nazungumzia akiwa timu ya shule na baadae AFC ya Arusha..
Kazimoto kapata majeruhi tena..
Ehee ngasa anaenda bechi
Shaban nditi anafaa sana....kiungo mzuri sana yule.....game kwisha..leo wachezaji kil stars lazima wakutwe na mizigo chumbani mwaoMkwasa ilibidi aingize kiungo mkabaji na sio mshambuliaji.
Timu ya mpira wa pete ya JKT Ruvu inacheza lini jamani???
mi ni mnazi wa timu hiyo na mchezo huo.
MIa ya nini?haya mabadiliko yatawaghalimu. inabidi wawe makini sana. Mia