Kilimanjaro Stars 1 - 0 Malawi (CECAFA 2011)

Kwa hiyo stars watakutana na uganda hapo ndo mwisho wa stars imesonga kwa mkono wa Mungu.
Mkuu mpira unadunda, kama tutajipanga lolote linaweza kutokea siku hiyo........
 
huajjibu swali mazee............... mia ya nini

Mia ya nini? yanini kivipi. Ungekuwa umeshatembelea profile yangu usingeniuliza swali kama hilo. Mia
 
Dah!..Kweli Ushindi mzuri. Leo Invisible na Mamoderator wote wamefurahi. Ukitaka kujua kama wamefurahi sana angalia heading ya hii thread. Ndani ya DAKIKA 90 kichwa cha habari kimebadilika mala tatu(3). Safi sana. Inapendeza. Mia
 
Bado sijapata jibu kamili kwanini hawapendi kuiita Tanganyika Stars!
 
Hureeeeeeeeee yani best loooser wanaweza kutetea ubingwa wao kama utani ivi hiviiiii ngoja tuone
 
Hope ni shangwe kubwa kwa Julio na Mkwasa maana wamebezwa sana
 
Siamini nazani wamechakachua....... Ngombe amenenepea mnadani.....
 
Kumbe wabonga mkiamua mnaweza? Hongeta Taifa Stars! Hongera waTanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…