Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
Mkuu mpira unadunda, kama tutajipanga lolote linaweza kutokea siku hiyo........Kwa hiyo stars watakutana na uganda hapo ndo mwisho wa stars imesonga kwa mkono wa Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mpira unadunda, kama tutajipanga lolote linaweza kutokea siku hiyo........Kwa hiyo stars watakutana na uganda hapo ndo mwisho wa stars imesonga kwa mkono wa Mungu.
Mkuu unatutafutia ban....lolUshindi wa leo ni juhudi za CCM
MIa ya nini?
Mkuu mpira unadunda, kama tutajipanga lolote linaweza kutokea siku hiyo........
Mkuu habari yako? Mia
mpira umeisha. Mia
huajjibu swali mazee............... mia ya nini
Hiyo mia ni magoli au kitu gani?
Ndio umeshaona hivyo.Mi tangu nizaliwe sijawahi kuona timu inafungwa mechi mbili halafu inaingia robo fainali.
MIa ya nini?
Taifa Stars tena oi Hiyo Ni Tanganyika Stars...Kumbe wabonga mkiamua mnaweza? Hongeta Taifa Stars! Hongera waTanzania!
Washabiki wa Yanga wamenywea ! Masaburi yao
Maajabu ya dunia.Hureeeeeeeeee yani best loooser wanaweza kutetea ubingwa wao kama utani ivi hiviiiii ngoja tuone