Kilimanjaro Stars yadundwa 'Kiume' na Zanzibar heroes! Yapigwa 2 - 1

Kilimanjaro Stars yadundwa 'Kiume' na Zanzibar heroes! Yapigwa 2 - 1

Ndo shida ya kushindana na mdogo wako. Ukimshinda unamuonea, ukimuachia eti umemuogopa.
 
Naona kilimanjaro wameamua kuunga mkono juhudi za mheshi... miwa wetu mtukufu..
 
Juhudi za kikosi cha timu ya Zanzibar heros inazoendelea kuzionesha katika mashindano ya CECAFA ni za kutia moyo na za kupongezwa.
Ushindi wa kishindo dhidi ya Amavubi na Kilistars ni ishara njema kwa soka la Zanzibar na Tanzania kwa ujumla..
Kila la heri Zanzibar heros.
 
Mhhh kushindwa kubaya,kaka kubali kushindwa...huu waraka hautasaidia chochote,nakumbuka Maximo aliwahi kusema Zanzibar iko juu katika viwanja vya kuchezea watoto(maeneo ya wazi)

Mtoto anatakiwa umuwahi tangu mdogo kama unataka afanikiwe kwa chochote kile,ikiwa kimziki,kimichezo,kimasomo nk,Ninachokiona Tanganyika hasa hapa Daresalam viwanja vya wazi vyote vimejengwa ofisi za CCM sasa watoto watapata wapi kujifundisha kucheza mpira au michezo mingine...,aibu kubwa sana kuona watoto hawana sehemu za kucheza lakini tunakimbilia "Flyingover"

Tuanze kufikiri kivingine tutafanikiwa....

Labda kufikiri kutoa mchango wa mwenge na kukimbizana nao mitaani
 
be81cdbe74feb2633505b85ffd376771.jpg
 
Tim yangu ya taifa ni Brazil, hiyo Kilimanjaro au taifa nishaihama kitambo
 
Mapinduzi daima JWTZ fanya kweli fyoko fyoko hazivumiliki.
 
Mbona kawaida Tanganyika(macho go) hufungwa na Zanzibar,hii ni laana yabkuendekeza mkoloni mweusi.
Unawapa kuongoza wizara ihusuyo michezo watu wasema uongo na unategemea vitu reality kama michezo ushinde? Mwakyembe ana mbinu gani yule? Sasa kapewa na msaidizi hatari zaidi yake Juliana Shonza tutafika wapi sie? Huyu naibu badala ya kukaa na wataalamu wamsaidie kupata mbinu za kuinua michezo yeye muda wote yuko JF na ID fake kupambana na Chadema na kuwatukana Mbowe na Lowassa.
Angetumia hata hizo ID fake kuleta mada za michezo zijadiliwe hapa ili afuate ushauri lakini wapi! Yeye ni mapambano, propaganda na rusha roho.
 
Back
Top Bottom