Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
labda ufanisi wake ni wa hali ya juu sanaJK hakuwepo... na kama alikuwepo basi hakua mgeni rasmi bali mkuu wa mkoa wa dar, ambaye pia ni waziri na pia ni mbunge na mjumbe wa bodi kama laki saba hivi
LOL
Ivory Coast walikuwa ni waalikwa so ata kama wangeshinda wangepewa replica na sio kombe rasmi
Tanganyika huleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Duh! miaka 16 bila ya Challenge Cup! Hongereni sana Stars.
FIFA wanaitambua Taifa Stars si hii Kili Stars, na ndiyo inayopanda na kushuka kwenye rank.weeeeeeeeeeeeeee..fifa wanahesabu hata mech za kirafiki sembuse hii? siamini kabisa unachokisema....
Waliongalia mechi ya stars v uganda cranes naomba munijulishe waliofunga penati za stars
FIFA wanaitambua Taifa Stars si hii Kili Stars, na ndiyo inayopanda na kushuka kwenye rank.
No hili kombe haliko kwenye viwango vya FIFA kwa hiyo haitasaidia sana ila mardi tu tumebeba kombe kwa raha zetu.sasa esa na kombe vinabaki hapahapa bongo. this is great...najua sasa tumepanda kiwango kwenye orodha ya fifa
Nsajigwa, Shabani Nditi, Mwasyika, Machaku, Erasto Nyoni
NGO'TIMBEBEDZU said:FIFA wanaitambua Taifa Stars si hii Kili Stars, na ndiyo inayopanda na kushuka kwenye rank.
Newvision said:No hili kombe haliko kwenye viwango vya FIFA kwa hiyo haitasaidia sana ila mardi tu tumebeba kombe kwa raha zetu.
I am doubtful. Kwenye CAF sawa siyo FIFA
Bantugbro said:Sio kweli hebu tazama hapa chini:
FIFA.com - Tanzania: Fixtures and Results
Kili Stars yaipandisha Tanzania viwango Fifa