Kilimanjaro Stars yashinda kombe la Challenge 2010

Kilimanjaro Stars yashinda kombe la Challenge 2010

najua wamerusha mech zote, lkn this one is great...finale ina utamu wake hasa pale mnaposhinda....kama leo.
 
Juma kaseja anaongoza kikosi kwenda kupewa zawadi...this is more than great!!!
 
lukuvi ananyenyua kombe kabla ya kuwakabidhi kili stars
 
tayari vijana wa kili stars wameshapewa kombe...hureeeeeeeeeee
 
Ikumbukwe Mara ya Mwisho kwa Tanganyika kutwaa Kombe hili ilikuwa ni 1994 chini ya Super Coach Syleysaid Mziray (RIP), Leo Mashujaa wa Tanganyika (The Kilimanjaro Stars) wametutoa aibu baada ya Kulibakisha kombe hilo katika Ardhi ya Babu zetu yaani Tanganyika

Mungu Ibariki Kili Stars Mungu Ibariki Tanganyika
 
Ivory Coast walikuwa ni waalikwa so ata kama wangeshinda wangepewa replica na sio kombe rasmi
Tanganyika huleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Bigup Kilimanjaro Stars for wining Trophy tunaomba vilevile nguvu kam hii Taifa stars mtutoe kimasomaso kwenye michuano ya AFCON hata twende world cup Brazili 2014
 
sasa huu ushindi pongezi tumpe maximo au huyu ocha mpya?nadhani misingi yote aliiweka maximo au nyie mnaonaje?
 
Mungu Ibariki Kili Stars Mungu Ibariki Tanganyika
 
Hongera Tanzania
Hongera Kikwete, tunaona matunda ya kazi yako nzuri ya kuhamasisha soka la Tanzani.
Hongera Kilimanjaro Stars.
 
Hongera Tanzania
Hongera Kikwete, tunaona matunda ya kazi yako nzuri ya kuhamasisha soka la Tanzani.
Hongera Kilimanjaro Stars.

tena alipoenda jk ndio ushindi umekuwa mgumu mno....aheri asingeenda uwanjani. na leo tungeshindw\ mbele yake tungeomba wabunge wapeleke hoja binafsi ya kumzuia asiwe anaingia kuangalia mech maana kila anapoenda tunaishiwa kufungwa isipokuwa leo tu..
 
Hoja dhaifu.
 
Back
Top Bottom