mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Nimestaajabu sana kusikia taarifa hii kutoka katika mkoa ambao kila siku humu JF wanajinasibu kuwa ni mkoa wenye neema na tajiri.
Katika kipindi cha magazeti EFM nimesikia habari hii ya kufedhehesha kuwa wazee mkoani humo wamepigika hawana hata mia mbovu hivyo akijitokeza kijana mwenye sukari kilo moja na majani ya Tsh 200 anajipatia mke kabisa.