mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Chuki zangu ni kuwasilisha kilichofanyiwa utafiti na chombo cha habari au?Achana na chuki na watu wa kilimanjaro Hazitakufikisha popote.
Ngoja niandae kg 50 na majani ya kutosha nikajinyakulie wake.Ni mkoa gani haujapugika? Kuna ile mikoa ukichumbia wewe ndio unapewa na zawadi ya mifugo au ardhi kabisa
At your own risk..! Don't say you were not warned...!!!!Ngoja niandae kg 50 na majani ya kutosha nikajinyakulie wake.
Kuchumbia (barua) sawa na shuga (sukari).Ni mkoa gani haujapugika? Kuna ile mikoa ukichumbia wewe ndio unapewa na zawadi ya mifugo au ardhi kabisa
Uongo vipi wakati kule Rombo ilikuwa wanalalamika wanaume hawaoi ni walevi sasa ulevi na umaskini ni marafiki.Kwa mkoa kilimanjaro ilo jambo hapana ni uongo simini kulivo kuzuri kiasi kile,kama ni kweli tungeanza kuona wadada wa kazi kwanza ngumu kupata dada wa kazi mchaga
Sent from my YAL using JamiiForums mobile app
Chanzo cha habari ni EFM, sawaNimestaajabu sana kusikia taarifa hii kutoka katika mkoa ambao kila siku humu JF wanajinasibu kuwa ni mkoa wenye neema na tajiri.
Katika kipindi cha magazeti EFM nimesikia habari hii ya kufedhehesha kuwa wazee mkoani humo wamepigika hawana hata mia mbovu hivyo akijitokeza kijana mwenye sukari kilo moja na majani ya Tsh 200 anajipatia mke kabisa.
Mpaka sub,,,,Kwahiyo nikibeba kiroba kimoja cha sukari na katoni ya majani ya chai si nitapata warembo wengi?
I see, Mimi si Mchaga lakini nakubaliana na wewe. Kipimo chako nakikubali kihalisia. Kipimo cha ugumu wa maisha kwa wasichana kinaanzia hapo.Kwa mkoa kilimanjaro ilo jambo hapana ni uongo simini kulivo kuzuri kiasi kile,kama ni kweli tungeanza kuona wadada wa kazi kwanza ngumu kupata dada wa kazi mchaga
Sent from my YAL using JamiiForums mobile app
Miaka 30 bado ipo palepaleAt your own risk..! Don't say you were not warned...!!!!