jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Hivi mkoa wa kilimanjaro ni moshi tu..kuna same..mwanga..rombo..hai..kote ni mkoa wa kilimanjaro.Kwa mkoa kilimanjaro ilo jambo hapana ni uongo simini kulivo kuzuri kiasi kile,kama ni kweli tungeanza kuona wadada wa kazi kwanza ngumu kupata dada wa kazi mchaga
Sent from my YAL using JamiiForums mobile app
Kwa wilaya ya rombo hai na moshi ndio zina idadi kubwa ya wachaga same na mwanga ni wapare izo wilaya za wachaga zimeshakua kila kitu mahitaji muhimu yapoHivi mkoa wa kilimanjaro ni moshi tu..kuna same..mwanga..rombo..hai..kote ni mkoa wa kilimanjaro.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ni mkoa wa kilimanjaro hivyo..hili suala ni la mkoa..Kwa wilaya ya rombo hai na moshi ndio zina idadi kubwa ya wachaga same na mwanga ni wapare izo wilaya za wachaga zimeshakua kila kitu mahitaji muhimu yapo
Sent from my YAL using JamiiForums mobile app
Sio kirahisi ivyo mkuuKwahiyo nikibeba kiroba kimoja cha sukari na katoni ya majani ya chai si nitapata warembo wengi?
Not always brother; mimi sio Mchagga but naifahamu Kilimanjaro almost wilaya zake zote, yaani Uchaggani hadi Upareni, naweza nisikubaliane sana na hicho chombo cha habari kilicho report but the truth is, Kilimanjaro inakuzwa sana kuliko uhalisia, maisha ya Kilimanjaro ni magumu.I see, Mimi si Mchaga lakini nakubaliana na wewe. Kipimo chako nakikubali kihalisia. Kipimo cha ugumu wa maisha kwa wasichana kinaanzia hapo.
Ushawahi kufika Rombo ukajionea huo umaskini mkubwa uliosababishwa na Ulevi?Uongo vipi wakati kule Rombo ilikuwa wanalalamika wanaume hawaoi ni walevi sasa ulevi na umaskini ni marafiki.
Hadi kufikia kukodisha wanaume wa Kenya,kwa hali hii unadhani huko ukienda na laki si unaoa Kijiji kabisa?
Unafuu wa Maendeleo kidogo huko uchagani upo au haupo? Kulinganisha na sehemu nyingine hapa Tz maana hata New York ma-homeless wapo kibao.Not always brother; mimi sio Mchagga but naifahamu Kilimanjaro almost wilaya zake zote, yaani Uchaggani hadi Upareni, naweza nisikubaliane sana na hicho chombo cha habari kilicho report but the truth is, Kilimanjaro inakuzwa sana kuliko uhalisia, maisha ya Kilimanjaro ni magumu.
Now kuhusu wadada wa kazi kutoka mkoa huo, yawezekana watu wakawa wanawaogopa kwasababu ya historia ambayo watu wamekua wakiwasema Wachagaa, kwamba ukiwa na mfanyakazi Mchaga anaweza kukuibia (kitu ambacho binafsi sikikubali sana ) and hence wanajikuta wanakua WAHANGA wa hi kazi. Umeisha wahi kusikia mtu wa kabila lingine kaajiri Mchaga may be kumuuzia duka au biashara yeyote? Unadhani wao hawapendi? Ni historia, either imepikwa au ya kweli but ndio wanajikuta wamekua WAHANGA.
Kuna nyuzi humu ndani watu wanasisitiza kabisa kwamba eti usioe MCHAGA? Zipo humu, itakua na kumfanya kua house girl? Ngumu. Siandiki haya kwamba labda na mimi nakubaliana nayo, hapana, as I said, Kilimanjaro hakuna sehemu unaweza kunidanganya, najua wilaya zake karibu zote, nawajua wasichana wa Kichaga (kuhusu wasichana wa kipare hawa siwajui sana ) tena wa wilaya tofauti tofauti, ningekua sijaoa, ningeoa msichana from Chagga, ni wazuri hadi wa tabia na ni waaminifu sana kwenye ndoa kama mwanaume umetulia vizuri but historia yao sasa; sijui ilipikwa au vipi, bado hua sielewi, hasa Machame.
Upo mkubwa, but Kilimanjaro inakuzwa sana, anyway nimesome tena vizuri kwenye huo mchango wangu, sijapaponda Kilimanjaro. Nimebahatika kutembelea mikoa mingi Tanzania, mikoa ambayo bado sijafika nadhani ni hiyomikoa masikini zaidi ya kina Ktavi, Lindi, Mtwara, pia ipo Ruvuma na Rukwa, huko sijawahi kufika but the rest of the regions in this country, naijua vizuri, Kilimanjaro pazuri though panakuzwa sanaUnafuu wa Maendeleo kidogo huko uchagani upo au haupo?..kulinganisha na sehemu nyingine hapa Tz...maana hata New York ma-homeless wapo kibao
Note:Tz yote bado tupo nyuma.
I got you.Upo mkubwa, but Kilimanjaro inakuzwa sana, anyway nimesome tena vizuri kwenye huo mchango wangu, sijapaponda Kilimanjaro. Nimebahatika kutembelea mikoa mingi Tanzania, mikoa ambayo bado sijafika nadhani ni hiyomikoa masikini zaidi ya kina Ktavi, Lindi, Mtwara, pia ipo Ruvuma na Rukwa, huko sijawahi kufika but the rest of the regions in this country, naijua vizuri, Kilimanjaro pazuri though panakuzwa sana
Ni wapi uko, niende wiki ijayoNi mkoa gani haujapugika? Kuna ile mikoa ukichumbia wewe ndio unapewa na zawadi ya mifugo au ardhi kabisa
Huna jipya brooooNimestaajabu sana kusikia taarifa hii kutoka katika mkoa ambao kila siku humu JF wanajinasibu kuwa ni mkoa wenye neema na tajiri.
Katika kipindi cha magazeti EFM nimesikia habari hii ya kufedhehesha kuwa wazee mkoani humo wamepigika hawana hata mia mbovu hivyo akijitokeza kijana mwenye sukari kilo moja na majani ya Tsh 200 anajipatia mke kabisa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ila ikitokea mkeo akafa unazikwa nayeNi wapi uko, niende wiki ijayo
dunia ya tech haihitaji kufika ndio maana taarifa na picha zinatufikiaUshawahi kufika Rombo ukajionea huo umaskini mkubwa uliosababishwa na Ulevi?