Kilimanjaro: Uduni wa maisha wapelekea wasichana kuozeshwa kwa sukari na majani ya chai

Historia yao itazidi kuwatafuna..lisemwalo lipo mkuu..mimi nina ndugu zangu nawajua fika walioa wachaga ila kilichowakuta ni kuwahurumia tu..walikua na pesa sana mmoja alikufa mwingine aliachwa hohehae..akawa ni mtu wa kuomba omba tu...wachaga ni magaidi hawafai ni wezi..wakubwa kuanzia ngazi ya familia hadi taifa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo hakuna ukweli sema vijana hawana mahali ya kuolea wazee wanaona walegeze masharti
 
Umehitimisha vizuri. Kilimanjaro inakuzwa na watu hadi wasomi wameaminishwa kuwa imeendelea kuliko mikoa mingine. Kama ni swala la uchumi nahisi wamasai na wasukuma ni matajiri kama tutatumia kigezo cha umiliki wa rasilimali lakini sehemu wanazoishi hakuna watu wa kuwasemea kwenye mitandao. Kama ni biashara nenda kila mkoa kama hujakuta wenyeji wa mkoa huo hawamiliki biahsara kubwa.
Kama umasikini unapimwa kwa watoto wa kike kuwa house girl tunasahau kwamba Kilimanjaro kuna wamachinga wa kike kuliko mikoa mingine ila tumewabatiza jina la wachakalikaji. Wanaume wakienda Xmass wanapachika mimba na kurudi Dar wanawaacha wasimbe lakini wanawapamba kwa jina la single mother.
Hili swala la kubweteka na kushadadia eti mkoa fulani una maendeleo wakati hata mwingine hajawahi kutoka kuona mikoa mingine mtajikuta mnapigwa moja bila.
 
Unafiki tuu. Sukari na majani huwa ni kama desturi yetu wachaga unapo kwenda kusalmia mahali.
 
NBS wana data za mikoa iliyo na standard nzuri ya maisha..inabidi uwalaumu wao kwa kuwa-rank Kilimanjaro kama mkoa wa pili nyuma ya Dar.
 
Yani nataka kusema mi nimetembe mikoa mingi sana ila wachaga shikamoo wanaumoja awawezi fanya huo upuuzi amini ilo

Sent from my YAL using JamiiForums mobile app
 
Hawa si ndio huwa wanatutambia Wana pesa Sana kwao lami hadi Vijijini sasa imekuaje?

To be honestly Wilaya za Mwanga,Siha,Same hakuna kitu pale labda Moshi na Hai
Kama mkoa wa Kilimanjaro uko kwenye hiyo hali mikoa mingine itakuwaje? Hivi Tanzania mnaijua kweli?
 
Kabisa, watu wanaishi sana Dar na wanakutana na biashara nyingi zikimilikiwa na Wachagga and hence wanadhani Kilimanjaro basi maisha kule ni rahisi sana, sio kweli. Tunakariri sana wabongo
 
Nasemaje acheni kutunanga wachagga, hiyo ya sukari kilo moja na majani ya chai unaweza kuta wazee ni wapole hawakutaka kukaza tu. Sasa leo tumekuwa wapole mnatunanga, acheni izo mambo za roho hizo.
 
Nenda ukakusanye wake Sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…