Kilimanjaro; Wafanyabiashara toka Kenya wamaliza mahindi mabichi yakiwa shambani

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
11,208
Reaction score
20,517
Huko wilayani Rombo katika tarafa za Tarakea, Useri pamoja na maeneo mengine ndani ya wilaya hiyo, Malori Kwa Malori ya mizigo yamekuwa yakivuka Boda na kuja Rombo kuvuna mahindi machanga, na kupeleka kwao Kenya kama malighafi za viwandani.

Wakulima wengi wa mahindi hapa Rombo Kwa kiasi kikubwa wanafurahia biashara iliyopo Kati yao na wakenya Kwa kuwa wafanyabiashara wa Kenya hununua mahindi hayo machanga Kwa bei kubwa na hivyo mkulima kupata faida kubwa tofauti na akiuza yakiwa yamekomaa au yakiwa yameshakauka Kwa ajili ya unga.

Mmoja wa wakulima hao aliyejitambulisha Kwa jina la shirima anasema kuwa wafanyabiashara hao wa Kenya wamekuwa wakinunua mahindi machanga kabisa yakiwa shambani Kwa bei ya ya sh.milion Moja na laki nane Hadi million mbili Kwa heka Moja ambapo anasema ni bei tofauti kabisa na yakiwa yamekomaa Kwa ajili ya unga ambapo Kwa heka Moja huuza , million Moja , au shilingi laki nane au chini ya hapo.
 
Sawa waendelee kulima tu eka nyingi kukuza uchumi wa nchi
 
nasikia wanabadilishana na GONGO!! jet moja la GONGO unawapa gunia la mahindi!!
 
Hii biashara ipo kitambo... Kule ukifanikiwa kupata mkenya wa kununua yakiwa mabichi unapiga ndege wawili kwa jiwe 1
 
Litatolewa tamko la kuzuia biashara
 
Hongera kwa wakulima.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Huko wilayani Rombo katika tarafa za Tarakea, Useri pamoja na maeneo mengine ndani ya wilaya hiyo, Malori Kwa Malori ya mizigo yamekuwa yakivuka Boda na kuja Rombo kuvuna mahindi machanga, na kupeleka kwao Kenya kama malighafi za viwandani.

Wakulima wengi wa mahindi hapa Rombo Kwa kiasi kikubwa wanafurahia biashara iliyopo Kati yao na wakenya Kwa kuwa wafanyabiashara wa Kenya hununua mahindi hayo machanga Kwa bei kubwa na hivyo mkulima kupata faida kubwa tofauti na akiuza yakiwa yamekomaa au yakiwa yameshakauka Kwa ajili ya unga.

Mmoja wa wakulima hao aliyejitambulisha Kwa jina la shirima anasema kuwa wafanyabiashara hao wa Kenya wamekuwa wakinunua mahindi machanga kabisa yakiwa shambani Kwa bei ya ya sh.milion Moja na laki nane Hadi million mbili Kwa heka Moja ambapo anasema ni bei tofauti kabisa na yakiwa yamekomaa Kwa ajili ya unga ambapo Kwa heka Moja huuza , million Moja , au shilingi laki nane au chini ya hapo.
sisi tunachoweza kwa mkapa hatoki mtu au we huogopi
 
Keshokutwa wasije lialia serikali iwape chakula cha msaada. Watunze akiba ya miaka mitatu mbele.
 
Huko wilayani Rombo katika tarafa za Tarakea, Useri pamoja na maeneo mengine ndani ya wilaya hiyo, Malori Kwa Malori ya mizigo yamekuwa yakivuka Boda na kuja Rombo kuvuna mahindi machanga, na kupeleka kwao Kenya kama malighafi za viwandani.

Wakulima wengi wa mahindi hapa Rombo Kwa kiasi kikubwa wanafurahia biashara iliyopo Kati yao na wakenya Kwa kuwa wafanyabiashara wa Kenya hununua mahindi hayo machanga Kwa bei kubwa na hivyo mkulima kupata faida kubwa tofauti na akiuza yakiwa yamekomaa au yakiwa yameshakauka Kwa ajili ya unga.

Mmoja wa wakulima hao aliyejitambulisha Kwa jina la shirima anasema kuwa wafanyabiashara hao wa Kenya wamekuwa wakinunua mahindi machanga kabisa yakiwa shambani Kwa bei ya ya sh.milion Moja na laki nane Hadi million mbili Kwa heka Moja ambapo anasema ni bei tofauti kabisa na yakiwa yamekomaa Kwa ajili ya unga ambapo Kwa heka Moja huuza , million Moja , au shilingi laki nane au chini ya hapo.
Hata kama asingejitambulisha kwamba anaitwa shirima sisi tungejua tu kama sio masawe basi ni shirima
 
Back
Top Bottom