nasikia wanabadilishana na GONGO!! jet moja la GONGO unawapa gunia la mahindi!!Huko wilayani Rombo katika tarafa za Tarakea, Useri pamoja na maeneo mengine ndani ya wilaya hiyo, Malori Kwa Malori ya mizigo yamekuwa yakivuka Boda na kuja Rombo kuvuna mahindi machanga, na kupeleka kwao Kenya kama malighafi za viwandani.
Wakulima wengi wa mahindi hapa Rombo Kwa kiasi kikubwa wanafurahia biashara iliyopo Kati yao na wakenya Kwa kuwa wafanyabiashara wa Kenya hununua mahindi hayo machanga Kwa bei kubwa na hivyo mkulima kupata faida kubwa tofauti na akiuza yakiwa yamekomaa au yakiwa yameshakauka Kwa ajili ya unga.
Mmoja wa wakulima hao aliyejitambulisha Kwa jina la shirima anasema kuwa wafanyabiashara hao wa Kenya wamekuwa wakinunua mahindi machanga kabisa yakiwa shambani Kwa bei ya ya sh.milion Moja na laki nane Hadi million mbili Kwa heka Moja ambapo anasema ni bei tofauti kabisa na yakiwa yamekomaa Kwa ajili ya unga ambapo Kwa heka Moja huuza , million Moja , au shilingi laki nane au chini ya hapo.
afu hela yao inathamani kubwaNinachowapenda wa Kenya hawanaga longolongo ukimwambia bei ni hii yeye ni sawa pakia
sisi tunachoweza kwa mkapa hatoki mtu au we huogopiHuko wilayani Rombo katika tarafa za Tarakea, Useri pamoja na maeneo mengine ndani ya wilaya hiyo, Malori Kwa Malori ya mizigo yamekuwa yakivuka Boda na kuja Rombo kuvuna mahindi machanga, na kupeleka kwao Kenya kama malighafi za viwandani.
Wakulima wengi wa mahindi hapa Rombo Kwa kiasi kikubwa wanafurahia biashara iliyopo Kati yao na wakenya Kwa kuwa wafanyabiashara wa Kenya hununua mahindi hayo machanga Kwa bei kubwa na hivyo mkulima kupata faida kubwa tofauti na akiuza yakiwa yamekomaa au yakiwa yameshakauka Kwa ajili ya unga.
Mmoja wa wakulima hao aliyejitambulisha Kwa jina la shirima anasema kuwa wafanyabiashara hao wa Kenya wamekuwa wakinunua mahindi machanga kabisa yakiwa shambani Kwa bei ya ya sh.milion Moja na laki nane Hadi million mbili Kwa heka Moja ambapo anasema ni bei tofauti kabisa na yakiwa yamekomaa Kwa ajili ya unga ambapo Kwa heka Moja huuza , million Moja , au shilingi laki nane au chini ya hapo.
Kilimanjaro, Arusha na Manyara miaka yote wakenya hua ndo wanunuzi wa mazaoFursa nzuri sana, hakuna mashamba ya kukodi huko?
Hata kama asingejitambulisha kwamba anaitwa shirima sisi tungejua tu kama sio masawe basi ni shirimaHuko wilayani Rombo katika tarafa za Tarakea, Useri pamoja na maeneo mengine ndani ya wilaya hiyo, Malori Kwa Malori ya mizigo yamekuwa yakivuka Boda na kuja Rombo kuvuna mahindi machanga, na kupeleka kwao Kenya kama malighafi za viwandani.
Wakulima wengi wa mahindi hapa Rombo Kwa kiasi kikubwa wanafurahia biashara iliyopo Kati yao na wakenya Kwa kuwa wafanyabiashara wa Kenya hununua mahindi hayo machanga Kwa bei kubwa na hivyo mkulima kupata faida kubwa tofauti na akiuza yakiwa yamekomaa au yakiwa yameshakauka Kwa ajili ya unga.
Mmoja wa wakulima hao aliyejitambulisha Kwa jina la shirima anasema kuwa wafanyabiashara hao wa Kenya wamekuwa wakinunua mahindi machanga kabisa yakiwa shambani Kwa bei ya ya sh.milion Moja na laki nane Hadi million mbili Kwa heka Moja ambapo anasema ni bei tofauti kabisa na yakiwa yamekomaa Kwa ajili ya unga ambapo Kwa heka Moja huuza , million Moja , au shilingi laki nane au chini ya hapo.
Jinsi walivyo wajinga sitashangaa! Hawa wajinga hudhani kuwa wakulima ni mali ya serikali.Litatolewa tamko la kuzuia biashara