Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Katika hali isiyo ya kawaida wakulima mkoani Kilimanjaro wamepata hasara ya mazao yao baada ya Kukosekana kwa mvua za kutosha mwaka huu.
Wakulima hao wamesema wameingia hasara kutokana na gharama kubwa walizotumia katika manunuzi ya mbegu, mbolea nk. pamoja na utayarishaji wa mashamba yao.
Wengi wa wakulima hao hawajaambulia chochote mashambani. Kuna uwezekano mkubwa mwaka ujao kukawa na baa la njaa
Ni wakati sahihi sasa serikali ikafikiria namna ya kuwasaidia wakulima katika uwekazaji wa kilimo cha uwagiliaji ambacho kitakuwa kinalimwa kwa mwaka mzima mfululizo na sio aina hii ya kilimo kinachotegemea mvua ambapo mkulima hupata hasara pindi inapokosekana mvua ya kutosha kama ilivyo sasa.