Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni

Mkuu wa Wilaya ya Hai Ole SABAYA hawezi kukosa mkono wake hapa, achunguzwe na watu hawa wataja anaye wafadhili lazima utamkuta yumo. Maana hata yeye Ole Sabaya aliwahi kukamatwa Arusha akifanya shughuli za kujitaja kuwa yeye ni usalama wa taifa akawekwa ndani na ushahidi wa kitambulisho cha kubumba alikuwa nacho ccm wakamtetelea akatoka.
 
Ole Sabaya ni suspect number moja.

Hili si la kupepesa macho.!
 
Dr Charles Kimei ameshaanza kuonesha sura yake halisi. Haridhiki na utajirisho aliouvuna na hata kuzawadiwa na CRDB? Ubunge ataupata au kuukosa kwa haki, sio kunyakua kwa nguvu. Unadhani hao vibaka wanagharamiwa na Nani?
 
Dr Charles Kimei ameshaanza kuonesha sura yake halisi. Haridhiki na utajirisho aliouvuna na hata kuzawadiwa na CRDB? Ubunge ataupata au kuukosa kwa haki, sio kunyakua kwa nguvu. Unadhani hao vibaka wanagharamiwa na Nani?
Hao wauaji wanagharamiwa na CCM maana ni maofisa wa CCM Lumumba.
 
CCM kwa uhalifu hawajambo.
 
Uongo mtupu, upuuzi mtupu.

Waliomuua Alphonce Mawazo mbona hawajawakamata mpaka leo?!
 
CCM inataka kuanzisha vikundi vya uhalifu kama 'Itarahamwe" kama huko Rwanda?
 
Hiki kikundi cha Lumumba hakina tofauti na kikundi cha Mungiki kule Kenya
 
Hivi wanataka nini tena? Kama tume ipo, polisi wapo uhakika wakushinda ni 100% inakuaje bado unatafta watu kuwatesa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…