Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni

Mbona bado wako wengi hawajamatwa hasa wale wanaotumwa na mkuu was wilaya ya Hai Ole Sabaya .
 
Very serious offences lakini watuhumiwa hawana pingu mikononi! Muda si mrefu litatoka tamko la kuwasafisha
Hawa ndio wasiojulikana,mchana wanatembea na gari lenye Plate number DFP wakiwa na mapanga,mikuki,shoka na marungu ila usiku wanakuwa na AK 47.Intelijensia ya POLISI Tanzania haiwezi kuwaona hawa invisible's.
 
Kwa kumbukumbu zaidi.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Na ndio sheria za udara lazima iwakane ila itapita mgongo wa nyuma kuwachomoa
 
Usikute wamepangwa tu ili lionekane jeshi la polisi linafanya kazi yake sawa sawa wakati wenyewe ndiyo wanaongoza matukio ya utekaji

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kama huku ndio tulikuwa tumefika basi CCM inapaswa kutubu kwa niaba ya watu wake.
 
Kama huku ndio tulikuwa tumefika basi CCM inapaswa kutubu kwa niaba ya watu wake.
CCM siku zote hawana mapenzi na wananchi na nchi bali huhakikisha by all means na gharama yeyote wanakilinda chama chao kisife.Hata kama watatumia njia harama na za kigaidi,ikiwezekana hata kuteka na kuua.Sasa Mama Samiah mchaji Mungu wanamuona kama kauzibe kwenye deal zao ovu kama za shetani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…