mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kwenye hilo jimbo Dada yetu pekee ndio sio afisa kipenyo?Hali ngumu sana,🤗,mrema ni boss,mbatia boss,saitakuaje?..!!!😲😲
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye hilo jimbo Dada yetu pekee ndio sio afisa kipenyo?Hali ngumu sana,🤗,mrema ni boss,mbatia boss,saitakuaje?..!!!😲😲
Kama hujui, Polisi wengi hawafurahishwi na Usalama wa Taifa kujigeuza tawi la CCM.Ndio hapo sasa. Habari kama hii ya kiintelijensia? Wameshafeli
Sponsor: Dr Charles KimeiDr Charles Kimei ameshaanza kuonesha sura yake halisi. Haridhiki na utajirisho aliouvuna na hata kuzawadiwa na CRDB? Ubunge ataupata au kuukosa kwa haki, sio kunyakua kwa nguvu. Unadhani hao vibaka wanagharamiwa na Nani?
Kabisa mkuu hawata kwepa kama wanahisi kuna siku wata kuja kulikwepa hili watakuwa mazezetaHawa wakiminywa vizuri watataja mauaji yote waliyofanya na ccm haitaweza kujitenga nayo/nao...!!!!
Watumiaji sisi hatujaileta hapa.Hivi mbona hii habari haipo kwenye media yeyote?
Sio kwamba n mtego kwa watumiaji wa JF?
Mbona page za media zote nchini hawana information au wamechimbwa bit?Watumiaji sisi hatujaileta hapa.
Hilo mbona kawaida tu.Mbona page za media zote nchini hawana information au wamechimbwa bit?
Hata mimi nimewashangaa ... inaonesha sio maofisa bali wahuni kutoka Ccm au rogue element inayojifanyia kazi yenyewe bila ya maagizo kwa mabosi waoDuh.....hawakujua James ni boss wao!!!
Tumbili amemtia Ngedere mbaroni!
Hii id yako unaweza kuwa ndgu yang ww au unatoka mkoan kwetuNadhani aliekimbia ni YEHODAYA.
Wameshajulikana ni kudeal nao kiume sasa wakiachiwaNdio hivyo hata mimi nina wasiwasi huo.
Nilikuwa natamani siku wakamatwe na raia wenye hasira kali wachomwe moto tu ili iwe fundisho.
Kwa nini haya hayafanyiki Chato? Watu wa Kilimanjaro wamewakosea nini ccm? Wanadeni nao lipi? Uonevu tu.Utopolo mwingine bhana! Nani kakudanganya kuwa Polisi wanaweza kuwakamata 'watu wa CCM'?!
Hii nayo ni nini?! Utopolo tu.Kwa nini haya hayafanyiki Chato? Watu wa Kilimanjaro wamewakosea nini ccm? Wanadeni nao lipi? Uonevu tu.