PreGE2025 Kilimanjaro: Wanachama 168 wa Chadema na CUF wamejiunga na ACT Wazalendo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wanachama 168 wa Chadema wakiongozwa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu Godson John Mmbaga na Chama cha CUF wakiongozwa na aliyekuwa Katibu wa Wilaya wa Chama hicho Ndugu Ally Ramadhan Mngashwa wamejiunga na ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu leo tarehe 23 Mei 2025.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ado amekuwa kwenye ziara ya siku mbili Kwenye Jimbo la Same Mashariki, ziara ambayo ilianza jana na kutamatika leo Jumamosi Mei 23, 2025.

Chama kikuu cha upinzani ACT wazalendo
 
Sasa kuna chadema mbili. Chadema ya chaumma, na Chadema Lissu.
Hapana. CHAUMA ipo miaka mingi, hivyo hao wahamiaji kiduchu hawawezi kubeba jina la chama. CHAUMA Ina wanachauma wengi kuliko hao wahamiaji.
 
CDM haiwezi kutikisika, hao bata waondoke na bata wao wa kike wasije wakasingizia mengine.
 
Hapana. CHAUMA ipo miaka mingi, hivyo hao wahamiaji kiduchu hawawezi kubeba jina la chama. CHAUMA Ina wanachauma wengi kuliko hao wahamiaji.
Inawezeka wanachaumma ni wengi, maana mzee Rungwe alishinda urais baada ya kuhesabu pole alizopata zilizidi kura za Magufuli.
 
Back
Top Bottom