Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
ACT ipo Kigoma tu kwa Tanzania Bara.
Chadema ya wachaga.ACT ipo Kigoma tu kwa Tanzania Bara.
Wachaga wamekimbilia ChaumaChadema ya wachaga.
Sasa kuna chadema mbili. Chadema ya chaumma, na Chadema Lissu.Wachaga wamekimbilia Chauma
Chama kikuu cha upinzani ACT wazalendoWanachama 168 wa Chadema wakiongozwa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu Godson John Mmbaga na Chama cha CUF wakiongozwa na aliyekuwa Katibu wa Wilaya wa Chama hicho Ndugu Ally Ramadhan Mngashwa wamejiunga na ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu leo tarehe 23 Mei 2025.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ado amekuwa kwenye ziara ya siku mbili Kwenye Jimbo la Same Mashariki, ziara ambayo ilianza jana na kutamatika leo Jumamosi Mei 23, 2025.
Hapana. CHAUMA ipo miaka mingi, hivyo hao wahamiaji kiduchu hawawezi kubeba jina la chama. CHAUMA Ina wanachauma wengi kuliko hao wahamiaji.Sasa kuna chadema mbili. Chadema ya chaumma, na Chadema Lissu.
Inawezeka wanachaumma ni wengi, maana mzee Rungwe alishinda urais baada ya kuhesabu pole alizopata zilizidi kura za Magufuli.Hapana. CHAUMA ipo miaka mingi, hivyo hao wahamiaji kiduchu hawawezi kubeba jina la chama. CHAUMA Ina wanachauma wengi kuliko hao wahamiaji.