Kilimanjaro; Wanakijiji waiomba serikali mtuhumiwa wa ubakaji watafute pa kumpeleka

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
11,208
Reaction score
20,517
Wananchi wa kijiji Cha Kwa Tito mkoani Kilimanjaro wameomba mtuhumiwa wa ubakaji mwenye umri wa miaka 50 aliyekuwa akimbaka na kumlawiti mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka 7 na kumsabibishia ulemavu kuhamishwa hapo nyumbani na kupelekwa sehemu anapostahili kutokana na kuwa ana tatizo la afya ya akili.

Wananchi hao wameomba serikali kuangalia sehemu maalumu pa kumpeleka Kwa ajili ya matibabu ya baba huyo ili asije leta madhara mengine kwa watoto na watu wengine wa hapo kijijini.

Hayo yanajiri baada ya baba huyo kuugua ugonjwa wa akili Kwa Miaka mingi na familia kushindwa kumtibia kutoka na hali ya umaskini inayowakabili.

Hivyo wanakijiji kuwa na hofu na watoto wao
 
Hospital ya Mirembe, Dodoma, 🚑 ya hapo bado haiko njiani kumfata muhusika? Lol
 
Aiseee nayeye wange mfilimba some u hungu wake
 
Wananchi wa kijiji Cha Kwa Tito mkoani Kilimanjaro wameomba mtuhumiwa wa ubakaji mwenye umri wa miaka 50 aliyekuwa akimbaka na kumlawiti mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka 7 na kumsabibishia ulemavu kuhamishwa hapo nyumbani na kupelekwa sehemu anapostahili kutokana na kuwa ana tatizo la afya ya akili.

Wananchi hao wameomba serikali kuangalia sehemu maalumu pa kumpeleka Kwa ajili ya matibabu ya baba huyo ili asije leta madhara mengine kwa watoto na watu wengine wa hapo kijijini.

Hayo yanajiri baada ya baba huyo kuugua ugonjwa wa akili Kwa Miaka mingi na familia kushindwa kumtibia kutoka na hali ya umaskini inayowakabili.

Hivyo wanakijiji kuwa na hofu na watoto wao
Hawa wachaga wamesahau kuwa wao walizaliwa kutafuta pesa. Mambo ya mapenzi na yanayoendana na hayo wawaachie wangoni.
 
Back
Top Bottom