Kilimanjaro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe

Kilimanjaro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kama ilivyotangazwa awali , leo ndio hitimisho la awamu ya kwanza ya Wiki ya Maandamano, Ambapo Mwamba Kabisa Freeman Mbowe ataisimamisha Kilimanjaro pale atakapoongoza Maandamano Moshi Mjini

Screenshot_2024-04-30-13-58-26-1.png

Usiondoke JF kwa Taarifa kamili
===========

Ukombozi unaendelea

Screenshot_2024-04-30-14-49-55-1.png

Screenshot_2024-04-30-14-49-46-1.png
Screenshot_2024-04-30-14-49-25-1.png
Screenshot_2024-04-30-18-04-18-1.png
Screenshot_2024-04-30-18-04-08-1.png
Screenshot_2024-04-30-18-06-06-1.png

Pia soma:

Naskia yale maandamano ya Chadema kimataifa yamepamba moto huko duniani, maandamano nchini Amerika yamefika hadi ofisi za UN
 
Mi ni Chadema lakini huwa simuamini kabisaaa mbowe sijui kwanini, naonaga kama Tundu Lissu ni mkweli na muwazi sana. But mbowe.... Kama anapindapinda sana....

Ni mtazamo tu tusichukiane kisa kutofautiana mtazamo.
 
Kama ilivyotangazwa awali , leo ndio hitimisho la awamu ya kwanza ya Wiki ya Maandamano, Ambapo Mwamba Kabisa Freeman Mbowe ataisimamisha Kilimanjaro pale atakapoongoza Maandamano Moshi Mjini

View attachment 2977469

Usiondoke JF kwa Taarifa kamili
===========
Watu ni wachache wamesusia maandamano ndio maana lazima photoshop uhusike hakuna mubasha aibu!
 
Eeeeh Chadema wamekiwasha kila kona Kule Lissu anavurumisha huku Mbowe anavurumisha ngoja moshi upunguwe tuone chawa wana hali gani
 
Mi ni Chadema lakini huwa simuamini kabisaaa mbowe sijui kwanini, naonaga kama Tundu Lissu ni mkweli na muwazi sana. But mbowe.... Kama anapindapinda sana....

Ni mtazamo tu tusichukiane kisa kutofautiana mtazamo.
Uko sawa kabisa,usiogope.
 
Baada ya hapo yashuke ngazi ya wilaya.
Hii ni kazi ngumu sana, lakini ni kazi inayotakiwa kufanyika kwa njia yoyote inayowezekana. Ni kupanga mikakati tu jinsi ya kuitekeleza vizuri. Pengine wilaya mbili mbil au zaidii kuunganishwa pamoja katika mkoa, au mikoa inayopakana.

Viongozi wa chama katika ngazi hizo, bila shaka wamo kazini wakati huu, bila hata ya kusubiri hayo maandamano.
 
Nipo kwenye mkutano Mwabukusi ndio kamaliza kuongea sasa ndio anakuja mwenyekiti kanda ya kaskazini Nd. Amani Golugwa.
 
Back
Top Bottom