Kilimi kuwa kirefu na tiba yake

Kilimi kuwa kirefu na tiba yake

Mtu mwenye kilimi hukohoa sana, hukonda sana gani kilimi kinamaliza mwili atauweje utakonda sana

Kilimi kikiwa kirefu huwa kinatunga kikipasuka mtu anapoteza uhai

Si kila doctor anaweza kukata kilimi, tunaweza kukatwa hospital ukawa ndio mwisho wa maisha yako

Si kila tatizo hospital ndio suruhisho lake tuache hiyo kasumba,

Mitaani wapo watu maarufu wakiofanya hiyo kazi ya kukata kilimi bila tatizo

Ushauri ukiwa na kilimi tafuta wataamu wa mtaani ukatwe usikimbilie hospital
Unafurahisha sana ww jamaa kwahiyo unaamini mtaani Wana uwezo mzuri zaidi kuliko hospitali? Unajua huko mtaani wanatumia vifaa Gani kukatia kilimi? Unazijua risks za kukatwa kilimi mtaani?

Jitafakar aisee.
 
Acha mambo ya ajabu, ulishawahi kusikia mzungu anakatwa kilimi?. Tonsillitis kuna dawa za kutibu na mimi nilikuwa nayo kwa miezi kadhaa nilijaribu dawa kadhaa mwishoe nikapona. Unapopata bacteria sehemu ya koo tonsil zinavimba pia kilimi, kwahiyo ni kawaida kilimi kuwa kikubwa akipona kitarudi. Kama zimearibika sana wanaweza kuzitoa ni minor surgery inachukua dakika 20 tu. Lakini sio daktari yoyote tafuta specialist yaani ENT.
Ushauri mzur sana mkuu nami namsihi mtoa mada achukue huu ushauri na aufanyie kazi akijifanya kuwasikiliza hawa mabush Dr wa jf kuhusu sijui kukatwa kilimi atakuja kuleta tena Uzi humu wa kujutia.
 
Nifuate inbox nikupe msaada wa kumtibu, nami niliwahi kusumbuliwa na tatzo hili nikatibiwa.
Tiba naifahamu.
Hili ni jukwaa la watu wengi. Ni vizuri ukifahamu suluhisho la matatizo useme kusaidia wengi.
Vinginevyo ungemfuata inbox!
 
Back
Top Bottom