Kilimo Biashara: Mayai ya Bata Mzinga, Bata Bukini, Pukini na Bata Maji

Deo Benjamin

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
308
Reaction score
92
Wakuu ninajishughulisha na ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Maji, Bukini na Pukini, nina tenda ya ku supply vifaranga wengi kwa mwezi huu na mwezi wa tatu, naomba kama kuna mtu anayeweza kuniuzia mayai kama nilivyo ainisha hapo juu, mayai yawe fertile kwa ajili ya kutotolesha.

Nitashukuru kujua bei yako na umri wa mayai yako

Asanteni
 
bluetooth kuna mteja
 
Last edited by a moderator:
Wakuu ninajishughulisha na ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Maji, Bukini na Pukini, nina tenda ya ku supply vifaranga wengi kwa mwezi huu na mwezi wa tatu, naomba kama kuna mtu anayeweza kuniuzia mayai kama nilivyo ainisha hapo juu, mayai yawe fertile kwa ajili ya kutotolesha.

Nitashukuru kujua bei yako na umri wa mayai yako

Asanteni

Mkuu Nina Bata Bukini kama utawahitaji tutafutane. By the way kuyapata Mayai yake ni kwa shida maana wanataga Mara mbili kwa mwaka kaka.
 
Jamani tuwekeeni picha zao tafadhali hao bata.
 
Mkuu Nina Bata Bukini kama utawahitaji tutafutane. By the way kuyapata Mayai yake ni kwa shida maana wanataga Mara mbili kwa mwaka kaka.

Mkuu Mob asante kwa majibu, nilikuwa nahitaji mayai kwa haraka kwa kuwa niliyonayo hayakidhi mahitaji yangu kwa sasa.

Je bata bukini wako wana umri gani, rangi gani na wametaga mara ngapi?.. na wanafikia kilo ngapi wanapokuwa na six months?
 
wangu wako wa miezi saba ambao wana kama kilo 4.5-5 na hawajataga na pia wako wenye mwaka na nusu waliotaga mara mbili na mara moja na pia wako waliotaga mara 3 mkuu .For more information PM mkuu
 
Mkuu Mob asante kwa majibu, nilikuwa nahitaji mayai kwa haraka kwa kuwa niliyonayo hayakidhi mahitaji yangu kwa sasa.

Je bata bukini wako wana umri gani, rangi gani na wametaga mara ngapi?.. na wanafikia kilo ngapi wanapokuwa na six months?
kama mkuu uko dar au Moshi Nitakukaribisha shamba Note.Biashara inafanyika shamba na unachagua mwenyewe
 
Wakuu ninajishughulisha na ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Maji, Bukini na Pukini, nina tenda ya ku supply vifaranga wengi kwa mwezi huu na mwezi wa tatu, naomba kama kuna mtu anayeweza kuniuzia mayai kama nilivyo ainisha hapo juu, mayai yawe fertile kwa ajili ya kutotolesha.

Nitashukuru kujua bei yako na umri wa mayai yako

Asanteni

Mm ninayo mayai ya bukini yana siku mbili now
 
Back
Top Bottom