Deo Benjamin
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 308
- 92
Wakuu ninajishughulisha na ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Maji, Bukini na Pukini, nina tenda ya ku supply vifaranga wengi kwa mwezi huu na mwezi wa tatu, naomba kama kuna mtu anayeweza kuniuzia mayai kama nilivyo ainisha hapo juu, mayai yawe fertile kwa ajili ya kutotolesha.
Nitashukuru kujua bei yako na umri wa mayai yako
Asanteni
Nitashukuru kujua bei yako na umri wa mayai yako
Asanteni