Deo Benjamin
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 308
- 92
bluetooth kuna mtejaWakuu ninajishughulisha na ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Maji, Bukini na Pukini, nina tenda ya ku supply vifaranga wengi kwa mwezi huu na mwezi wa tatu, naomba kama kuna mtu anayeweza kuniuzia mayai kama nilivyo ainisha hapo juu, mayai yawe fertile kwa ajili ya kutotolesha.
Nitashukuru kujua bei yako na umri wa mayai yako
Asanteni
Wakuu ninajishughulisha na ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Maji, Bukini na Pukini, nina tenda ya ku supply vifaranga wengi kwa mwezi huu na mwezi wa tatu, naomba kama kuna mtu anayeweza kuniuzia mayai kama nilivyo ainisha hapo juu, mayai yawe fertile kwa ajili ya kutotolesha.
Nitashukuru kujua bei yako na umri wa mayai yako
Asanteni
Mkuu Nina Bata Bukini kama utawahitaji tutafutane. By the way kuyapata Mayai yake ni kwa shida maana wanataga Mara mbili kwa mwaka kaka.
wangu wako wa miezi saba ambao wana kama kilo 4.5-5 na hawajataga na pia wako wenye mwaka na nusu waliotaga mara mbili na mara moja na pia wako waliotaga mara 3 mkuu .For more information PM mkuuMkuu Mob asante kwa majibu, nilikuwa nahitaji mayai kwa haraka kwa kuwa niliyonayo hayakidhi mahitaji yangu kwa sasa.
Je bata bukini wako wana umri gani, rangi gani na wametaga mara ngapi?.. na wanafikia kilo ngapi wanapokuwa na six months?
kama mkuu uko dar au Moshi Nitakukaribisha shamba Note.Biashara inafanyika shamba na unachagua mwenyeweMkuu Mob asante kwa majibu, nilikuwa nahitaji mayai kwa haraka kwa kuwa niliyonayo hayakidhi mahitaji yangu kwa sasa.
Je bata bukini wako wana umri gani, rangi gani na wametaga mara ngapi?.. na wanafikia kilo ngapi wanapokuwa na six months?
kama mkuu uko dar au Moshi Nitakukaribisha shamba Note.Biashara inafanyika shamba na unachagua mwenyewe