Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,140
Uko sahihi mkuu,hivi hakuna jinsi ya kurifine mawese yawe kama korie
Korie ni mawese yaliyosafishwa. Njia ya asili ya kusafisha mawese ni kuyaunguza kwenye chungu cha moto hadi yatoe moshi wenyewe wanaita kambili yanakuwa meupe safi kabisa japo yanakereketa.