Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Kutokana na Faida nyingi zinazopatikana katika zao la aloe vera (Alovera),
Naomba wajuzi mnijuze kuhusu kilimo chake yaani kama ukitaka kufanya zao hilo kama kilimo cha biashara,
Mnijuze haya machache,
1:upatikanaji wa mbegu zake?
2:Sehemu inayotakiwa kulimwa hapa nikimaanisha na udongo ufahao kwa zao hilo?
3:muda utumikao kukaa shambani mpaka kufikia kipindi cha mavuno?
4:Soko na bei yake kwa ujumla hapa ndio nahitaji kufahamu zaidi maana mzizi wa wazo langu la kilimo hicho ni kuangalia demand,upatikanaji wa soko pamoja na bei yake?
Najua zao hili la Aloe vera (Alovera) lina faida kubwa sana kwa matumizi ya binadamu hivyo kuna uwezekano wa kilimo chake kuwa na tija.