Kilimo cha Aloe Vera(Alovera)

Kilimo cha Aloe Vera(Alovera)

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kutokana na Faida nyingi zinazopatikana katika zao la aloe vera (Alovera),

Naomba wajuzi mnijuze kuhusu kilimo chake yaani kama ukitaka kufanya zao hilo kama kilimo cha biashara,

Mnijuze haya machache,

1:upatikanaji wa mbegu zake?

2:Sehemu inayotakiwa kulimwa hapa nikimaanisha na udongo ufahao kwa zao hilo?

3:muda utumikao kukaa shambani mpaka kufikia kipindi cha mavuno?

4:Soko na bei yake kwa ujumla hapa ndio nahitaji kufahamu zaidi maana mzizi wa wazo langu la kilimo hicho ni kuangalia demand,upatikanaji wa soko pamoja na bei yake?

Najua zao hili la Aloe vera (Alovera) lina faida kubwa sana kwa matumizi ya binadamu hivyo kuna uwezekano wa kilimo chake kuwa na tija.
 
Hujapata bado dondoo kuhusu Shubiri? Mbegu kule nyumbani sio ya kuomba ni kubeba tu maana ni uchafu.
 
Namwombea kazi huyu rafiki yangu Kanungila Karim na Yna wawe ma TASTER (WAONJARI UBORA/WAKALA WA UBORA) wa hizo product za alovera (shubiri) unazotaka kufanya.

Mi nipe kazi ya UKEMIA MKUU (MKAANGA SUMU), itapendeza.

Tafadhali mkuu, kwa ihsani yako.[emoji18]
 
Mkuu nataka nijue kwanza kama soko lake lipo ?
 
Mkuu ulizia taratibu maana tukilikosa soko tutauliza zile sabuni, dawa za meno na mafuta yenye mchoro malighafi wanatoa wapi [emoji3][emoji3]

Tumuumbue shetani
 
Mkuu ulizia taratibu maana tukilikosa soko tutauliza zile sabuni, dawa za meno na mafuta yenye mchoro malighafi wanatoa wapi [emoji3][emoji3]

Tumuumbue shetani
Kabisa mkuu au kilimo chake ni siri ambayo watu wanapiga hela kimya kimya?
 
Kabisa mkuu au kilimo chake ni siri ambayo watu wanapiga hela kimya kimya?

Takuja mtu hapa aseme inalimwa sana India.

Haya mambo ni usanii sana, ila mkuu ukiwa na shamba la Aloe vera eka 5 hivi hicho kijiji kutaishi wadudu kweli??, maana si ni dawa ya vijidudu hiyo [emoji23][emoji23]
 
Hakuna yeyote anaejua mkuu
 
Bado mkuu Nasubiri wajuvi waje wanipe dondoo
Hujaelewa somo mkuu, anaposema uchafu maana yake havina soko.Sasa tengeneza soko wewe mwenyewe kwa kusindika na kuingia mtaani.Tanzania hakuna viwanda vya vipodozi labda nje ya nchi itapata.Wengine huwek ktk sabuni, hivyo tafuta wajasiriamali w wa kutengeneza sabuni .
 
Back
Top Bottom