MKUDE SIMBA
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 305
- 167
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heshima kwenu wakuu, samahani kuna yeyote anayefahamu chochote juu kilimo cha aloe vera na masoko yake hapa Tanzania na hata kimataifa?
kwenye article uliyochomoa hiyo picha kuna maelezo mazuri ya kuanzia mkuu, inaonekana ni biashara nzuri.
Sure mkuu lakini ni vyema kufahamu masoko kwanza kwa hapa nchini na kimataifa,hawajalieleza hilo
kweli mkuu, pia unaweza kuwasiliana na watengezaji wa vipodozi, dawa za meno nk