Kilimo cha Azolla kwaajili ya chakula cha mifugo

Kilimo cha Azolla kwaajili ya chakula cha mifugo

Godfrey Sway

Member
Joined
Apr 13, 2018
Posts
41
Reaction score
36
Azolla bado imeonesha kushika kasi hasa katika ufugaji wa kuku, samaki, ng'ombe mbuzi sungura na nguruwe kwan inapunguza kiasi kikubwa cha gharama ya chakula pia inaongeza ukuaji na afya ya wanyama. Azolla ina protein kubwa sana kwa ajili ya ukuaji wa wanyama.

Kwa mahitaji ya mbegu ya Azolla na utengenezaji wa vibwawa vya kuzalishia Azolla tupigie
0752799673
0655859810
IMG_20181207_091613_305.jpg
IMG-20180624-WA0010.jpg
 
Back
Top Bottom