Kilimo cha Canola (Rapeseed) kinaweza kutupunguzia uhaba wa mafuta ya kula

Tunao ujinga Sana ety?

Tumeshindwa alizeti Canola tutaiweza .. can we atleast stop this motherfvcking stupidity...
 
KWAni shida ni kulima?
Shida ni Canola?
Shida ni alizeti?

Hapana shida ipo kwenye akili zetu .. Taifa KWA ujumla..

How mkuu embu fafanua hili, na je umewahi lima moja wapo changamoto ni zipi Mkuu
 
How mkuu embu fafanua hili, na je umewahi lima moja wapo changamoto ni zipi Mkuu
KWAni kuna mtu alisema kwamba tunao uhaba wa mazao ya kuzalisha mafuta nchini?

Tuondoe sera mbovu za kilimo na uwekezaji KWA ujumla.. tuwe na nishati ya uhakika na nafuu alafu tuingie shambani tuilime alizeti in large scale ..
 
KWAni shida ni kulima?
Shida ni Canola?
Shida ni alizeti?

Hapana shida ipo kwenye akili zetu .. Taifa KWA ujumla..
Yaani unajibu kama umevuta unga wakati hujawahi kulima mazao ya kutoa mafuta bora kukaa kimya tu
 
Mbegu za canola tunazipataje kwa Tz tujaribu hichi kilimo.

#MaendeleoHayanaChama
 
swala je ayo mafuta yana test gani.?
ukuwaji wake ni siku ngapi..?
na soko lake lipo wap.?
 
Jamani tuelekezane changamato ya hili zao maana nimeona kama lina lina faida sana maana kwa heka inaonyesha unaweza pata mazao yayoweza kukupa mpaka lita 600 sasa sielewi gharama zake
 
Nataka kujua wanapochakata parachichi mpaka kutoa mafuta yakupikia
 
Mkuu,
Hivi hiyo corn oil kwa mfano inaweza kuzalishwa commercially?
Maana Tanzania hakuna uhaba wa mahindi, lkn uhaba wa mafuta ya Kula unatisha!
 
Ukiipata naomba tushirikishane. Niko shamba nasubiri tu ipatikane niendeleze juhudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…