Sniper
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 1,957
- 827
Heshima mbele wakuu,
Naomba ushauri juu ya kilimo cha chinese. Nimeaza na matuta machache ila nina plan ya kujiongeza nifikie kulima at least nusu mpk eka moja ya chinese tu.
Wasiwasi wangu ni je, hichi kilimo kitanilipa nikilama kwa large scale? Plan yangu ni kuuza kwa jumla na sio kuuza rejareja.
Naombeni ushauri.