Kilimo cha choya (rozella)

Kilimo cha choya (rozella)

frank wa moyo

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
480
Reaction score
113
Wakuu habari za majukumu,
naomba kufahamisha juu ya kilimo cha choya ama rozella, kinahitaji mahitaji gani muhimu
lengo langu kuu ni kuanzisha kikundi mimi na vijana wenzangu, kulima zao hili pia kuliongezea thamani kwa kufanya parkeging, kuuza likiwa na nembo yetu.
So mwenye ufahamu anijuze
ahsanteni
 
Back
Top Bottom