Kilimo cha dengu

Kilimo cha dengu

HABARI wakuu

SHAMBA+ ni mtandao unaotumia App, Whatsapp channel na SMS utakaokutanisha wadau wote wa kilimo ie Wakulima, Bwana shamba, wauzaji pembejeo na mbegu na madawa, na masoko ya bidhaa za kilimo. Kazi/dhumuni la huu mtandao ni : (i) Ushauri wa kilimo kutoka kwa agronomist - NI BURE kama unatumia WHATSAPP au APP, kama ni SMS utalipia (ii) Maswali na majibu kati ya mkulima, Agronomist, wauzaji pembejeo - NI BURE kama unatumia WHATSAPP au APP, kama ni SMS utalipia (iii) Agronomist kuweza kuona maduka ya pembejeo/mbegu, wakulima mbalimbali na Agronomists wenzao wa mikoa mbalimbali na kuweza kuwasiliana na kujitangaza - NI BURE ila ni kwa kutumia APP NA WHATSAPP tu (iv) Kuona masoko na kuwasiliana na wanunuzi wa mazao - NI BURE ila ni kwa kutumia APP NA WHATSAPP tu
Wewe jamaa nachelea kukuita mbabaishaji nimefuata taratibu zote za hiyo form ya mkulima lakini mpaka sasa hakuna message ya WhatsApp au hiyo App. Jitathimini mkuu.
 
Moja ya mambo ambayo Tanzania huwa hayatangazwi Au kutembea kwa habari zake kwa kasi ni kilimo cha dengu, ngoja nianze kwa sababu kadhaa, ni eneo dogo la nchi linalolima dengu ila huhitaji wake bado upo, twenzetu....

1/ Hakihitaji maji wala mvua yaani unaweza lima kwa kutegemea umande tu hii ni kutokana na namna mbegu ilivyojiandaa na kuepukana na changamoto za magonjwa hasa ya fangasi.

2/ Soko lake bado lipo,unaweza kucomment bei ya huko ulipo kwa sasa,bei ni 2000-4000 tsh Tanzania hii itatofautiana na maeneo ila bei ipo.

3/ Gharama za uendeshwaji wa shamba ni ndogo sana labda kikubwa ni mbegu ila mengine ikizingatiwa magonjwa na changamoto za wadudu ni ndogo sana.

4/ Wengi hawalifahamu wanafahamu bidhaa ya dengu ila 80% ya watanzania Dengu hawaijui au mmea wenyewe unaonekanaje na hivyo kufanya nafasi ya kupenya kwa sehemu uliyopo.

5/ Zao la pili yaani ukitoa zao linalovumilia mvua za mwaka ndio huwekwa mfano mpunga ukishavuna unageuza ardhi unamwaga Dengu zako.

Hizo hapo juu ni sababu chache kati ya zile nyingi zitakazofanya mtu asijilaumu kulima dengu.
Unaweza kuandika jumbe fupi.
0714600576/0620598113.
Kuhusu ushauri wa mimea/tabia za mimea.
Masoko na kilimo kwa ujumla.
Karibuni Morogoro.View attachment 1679443
Dengu hupika Bahia,tambi na kande,na mboga nzuri ya Julia ubwabwa nimeongezea.Ni gift of Shinyanga ikiwa pamoja na choroko.Hayana gharama ila watanzania tunaipenda umasikini.
Nenda chunya Kaiser Luna ardhi ya dengu Kyle ila wako bize na dhahabu.Mbeya hawajaamja ukulima was dengu wakati wana hali inaystawi dengu. Tanzania fursa ni nyingi ila tunalia umaskini inashangaza sana.Sehemu za walima mpunga zote dengu inakubali,choroko inakubali ila watu wanalia njaa, sijui maharage bei nk nk
 
Wewe jamaa nachelea kukuita mbabaishaji nimefuata taratibu zote za hiyo form ya mkulima lakini mpaka sasa hakuna message ya WhatsApp au hiyo App. Jitathimini mkuu.
hapana mkuu ,,,kila kitu kipo sawa ,,,,,tupo kwenye hatua za mwanzoni ndiyo maana umehisi ila kila kitu kipo sawa ...
utajionea siku za usoni mkuu na kwa upande wa whatsapp tunaicreate channel maalum ambayo kama mkulima akiwa anauliza maswali itakuwa inatoa majibu direct....

App itaanza kutumika ndani ya mwezi wa tatu,..
kwa sasa kwanza tunakusanya data base za wakulima,mabwana shamba,maduka ya kuuza pembejeo n.k
hivyo vyote mkuu vinahitaji process maana hatuwezi maana app haiwezi kufanya kazi bila ya kuwepo hao wadau wa kilimo.

hata account yetu ya instagram ni mpya bado mambo hayajaanza kuchanganya,,,,,tupo kwenye hatua za mwanzo....

follow instagram shambaplus_
 
shamba+

habari wadau wa kilimo [emoji120][emoji120].....kwa sasa tiyari tushafungua whatsapp channel ya kusubscribe isave hii namba +27634444350 kisha ingia whatsapp na uitumie ujumbe wa neno la shamba+ kwa herufi ndogo hapo moja kwa moja utakuwa umesubscribe....

baadaye wadau wengi wa kilimo wakisha subscribe hii channel itakuwa inasaidia kutoa information kwa mfano mkulima akiingia na kuulizia masuala ya pembejeo au bwana shamba basi moja kwa moja ataweza kupata jibu hapo hapo kupitia bwana shamba aliye hewani kwa mda husika...pia unaweza kufollow page yetu instagram shambaplus_

kwa maelekezo zaidi unaweza kunipigia 0692449416
 
Dah, jamaa ww ni muongo kupta kias, nahc ni Kat y watembea na bahasha mkitafuta Kaz! Jamaa yang msimu uliopta kalima dengu heka 5 kapata kunia sabini na Saba we unaongea nn
Jamaa ni muongo Ila na ww ni muongo sana wote mnatakiwa mchapwe viboko mnadanganya mno
Heka moja ya dengu inatoa Gunia 5,6had 7 bas
 
Jamaa ni muongo Ila na ww ni muongo sana wote mnatakiwa mchapwe viboko mnadanganya mno
Heka moja ya dengu inatoa Gunia 5,6had 7 bas
Hahaaaaa, ngj nkwambie kitu, huyo bwana alyevuna gunia 77, alpanda kias kwamba huwez hata kupata nafas y kukanyaga, ilvyoota tu kapga sumu y kuua wadudu pmj na busta! Sdanganyi mkuu
 
Hahaaaaa, ngj nkwambie kitu, huyo bwana alyevuna gunia 77, alpanda kias kwamba huwez hata kupata nafas y kukanyaga, ilvyoota tu kapga sumu y kuua wadudu pmj na busta! Sdanganyi mkuu
Tudanganyane nn wakat mama kasema Jambo letu liko pale pale
 
Hahaaaaa, ngj nkwambie kitu, huyo bwana alyevuna gunia 77, alpanda kias kwamba huwez hata kupata nafas y kukanyaga, ilvyoota tu kapga sumu y kuua wadudu pmj na busta! Sdanganyi mkuu
Natamani ningeona hiyo interval! Kama ni kweli alipata sana
 
Hizi hesabu za gunia ngapi kwa ekari ndio zinaongoza kutuingiza watu mkenge wakatia mapesa yao kwenye kilimo halafu tunaangukia na pua

Nimegundua hesabu nyingi ni za kwenye makaratasi zimekuja toka huko walipotolea mbegu ambapo wenzetu hali ya hewa ina ruhusu, aridhi inaruhusu, wanapanda na kulima kikanuni, mbole na viatilifu, uvunaji na upepetaji bora nk

Jamani gunia ni kubwa na lina ujazo wa kutosha haswa.........ukilima ndio utajua ukubwa wa ujazo wa GUNIA
Hiyo dengu hadi uje upate gunia ni nyingi kweli kweli
Sasa ekari moja gunia sijui 7+ ni next to impossible kwakweli
Halafu bado mtu anakwambia eti ekari 5 mtu kapata gunia 77 yaani ekari moja gunia 15.........watu si tungekuwa mamilionea kirahisi sana
 
Wadau natumai mapambano yanaendelea! Mwenzenu Kuna kitu kinaitwa super gro nmekutana nacho kinasfiwa kutoa mazao kwa kiwango kikubwa kikitumika katk mazao yote! Swali langu je kwakuwa lebel yake imeandkwa ni wetting/ surfactant agent vp kuhusu mazao y kiangaz ambayo tunalima paspo kuwa na mvua inafaa hii? Namaansha kwa mazao km dengu na ngwara! Karbun kwa mwenye uzoefu na hili
 
Back
Top Bottom