Wewe jamaa nachelea kukuita mbabaishaji nimefuata taratibu zote za hiyo form ya mkulima lakini mpaka sasa hakuna message ya WhatsApp au hiyo App. Jitathimini mkuu.HABARI wakuu
SHAMBA+ ni mtandao unaotumia App, Whatsapp channel na SMS utakaokutanisha wadau wote wa kilimo ie Wakulima, Bwana shamba, wauzaji pembejeo na mbegu na madawa, na masoko ya bidhaa za kilimo. Kazi/dhumuni la huu mtandao ni : (i) Ushauri wa kilimo kutoka kwa agronomist - NI BURE kama unatumia WHATSAPP au APP, kama ni SMS utalipia (ii) Maswali na majibu kati ya mkulima, Agronomist, wauzaji pembejeo - NI BURE kama unatumia WHATSAPP au APP, kama ni SMS utalipia (iii) Agronomist kuweza kuona maduka ya pembejeo/mbegu, wakulima mbalimbali na Agronomists wenzao wa mikoa mbalimbali na kuweza kuwasiliana na kujitangaza - NI BURE ila ni kwa kutumia APP NA WHATSAPP tu (iv) Kuona masoko na kuwasiliana na wanunuzi wa mazao - NI BURE ila ni kwa kutumia APP NA WHATSAPP tu
Dengu hupika Bahia,tambi na kande,na mboga nzuri ya Julia ubwabwa nimeongezea.Ni gift of Shinyanga ikiwa pamoja na choroko.Hayana gharama ila watanzania tunaipenda umasikini.Moja ya mambo ambayo Tanzania huwa hayatangazwi Au kutembea kwa habari zake kwa kasi ni kilimo cha dengu, ngoja nianze kwa sababu kadhaa, ni eneo dogo la nchi linalolima dengu ila huhitaji wake bado upo, twenzetu....
1/ Hakihitaji maji wala mvua yaani unaweza lima kwa kutegemea umande tu hii ni kutokana na namna mbegu ilivyojiandaa na kuepukana na changamoto za magonjwa hasa ya fangasi.
2/ Soko lake bado lipo,unaweza kucomment bei ya huko ulipo kwa sasa,bei ni 2000-4000 tsh Tanzania hii itatofautiana na maeneo ila bei ipo.
3/ Gharama za uendeshwaji wa shamba ni ndogo sana labda kikubwa ni mbegu ila mengine ikizingatiwa magonjwa na changamoto za wadudu ni ndogo sana.
4/ Wengi hawalifahamu wanafahamu bidhaa ya dengu ila 80% ya watanzania Dengu hawaijui au mmea wenyewe unaonekanaje na hivyo kufanya nafasi ya kupenya kwa sehemu uliyopo.
5/ Zao la pili yaani ukitoa zao linalovumilia mvua za mwaka ndio huwekwa mfano mpunga ukishavuna unageuza ardhi unamwaga Dengu zako.
Hizo hapo juu ni sababu chache kati ya zile nyingi zitakazofanya mtu asijilaumu kulima dengu.
Unaweza kuandika jumbe fupi.
0714600576/0620598113.
Kuhusu ushauri wa mimea/tabia za mimea.
Masoko na kilimo kwa ujumla.
Karibuni Morogoro.View attachment 1679443
hapana mkuu ,,,kila kitu kipo sawa ,,,,,tupo kwenye hatua za mwanzoni ndiyo maana umehisi ila kila kitu kipo sawa ...Wewe jamaa nachelea kukuita mbabaishaji nimefuata taratibu zote za hiyo form ya mkulima lakini mpaka sasa hakuna message ya WhatsApp au hiyo App. Jitathimini mkuu.
Hekar moja ya dengu kama imestaw vilivyo hutoa Gunia 5 had 6Dengu inaeza toa debe 2 kwa ekari
Dah, jamaa ww ni muongo kupta kias, nahc ni Kat y watembea na bahasha mkitafuta Kaz! Jamaa yang msimu uliopta kalima dengu heka 5 kapata kunia sabini na Saba we unaongea nnDengu inaeza toa debe 2 kwa ekari
Dah, jamaa ww ni muongo kupta kias, nahc ni Kat y watembea na bahasha mkitafuta Kaz! Jamaa yang msimu uliopta kalima dengu heka 5 kapata kunia sabini na Saba weDengu inaeza toa debe 2 kwa ekari
Jamaa ni muongo Ila na ww ni muongo sana wote mnatakiwa mchapwe viboko mnadanganya mnoDah, jamaa ww ni muongo kupta kias, nahc ni Kat y watembea na bahasha mkitafuta Kaz! Jamaa yang msimu uliopta kalima dengu heka 5 kapata kunia sabini na Saba we unaongea nn
Hahaaaaa, ngj nkwambie kitu, huyo bwana alyevuna gunia 77, alpanda kias kwamba huwez hata kupata nafas y kukanyaga, ilvyoota tu kapga sumu y kuua wadudu pmj na busta! Sdanganyi mkuuJamaa ni muongo Ila na ww ni muongo sana wote mnatakiwa mchapwe viboko mnadanganya mno
Heka moja ya dengu inatoa Gunia 5,6had 7 bas
Tudanganyane nn wakat mama kasema Jambo letu liko pale paleHahaaaaa, ngj nkwambie kitu, huyo bwana alyevuna gunia 77, alpanda kias kwamba huwez hata kupata nafas y kukanyaga, ilvyoota tu kapga sumu y kuua wadudu pmj na busta! Sdanganyi mkuu
[emoji1][emoji1][emoji1]Tudanganyane nn wakat mama kasema Jambo letu liko pale pale
Natamani ningeona hiyo interval! Kama ni kweli alipata sanaHahaaaaa, ngj nkwambie kitu, huyo bwana alyevuna gunia 77, alpanda kias kwamba huwez hata kupata nafas y kukanyaga, ilvyoota tu kapga sumu y kuua wadudu pmj na busta! Sdanganyi mkuu
Ngoja na mim nimelima heka 6 nione nitawapa mrejesho julyNatamani ningeona hiyo interval! Kama ni kweli alipata sana
Cha msingi plant population iwe y uhakika na matunzoNgoja na mim nimelima heka 6 nione nitawapa mrejesho july
Ngoja na mim nimelima heka 6 nione nitawapa mrejesho july
Nmelima hanang ni ktk mashamb fulan awal yalimilikiwa na karasinga/ wahind weus walilima ngano! Ni udongo mweus unafaa kbs! La jmaa yang pia lipo hapa hapa! Niombe muwe na subra mwez julay nawapa mrejeshoUmelima wapi,Hilo shamba la jamaa yako lipo wapi?