mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Nov 13, 2023 #41 BLACK MOVEMENT said: Ukweli huwa hamuutaki? Click to expand... Hapana .shida ni kuona wewe ndo unafanya cha maana ila wenzio wanazunguka tu.haujui watu wanafanya nini kwenye maisha yao.sio lazma wote tuwe wakulima wa dragon.au mimi ninachofanya basi ndo nione ni bora kuliko wanachofanya wenzangu sio sawa.
BLACK MOVEMENT said: Ukweli huwa hamuutaki? Click to expand... Hapana .shida ni kuona wewe ndo unafanya cha maana ila wenzio wanazunguka tu.haujui watu wanafanya nini kwenye maisha yao.sio lazma wote tuwe wakulima wa dragon.au mimi ninachofanya basi ndo nione ni bora kuliko wanachofanya wenzangu sio sawa.