mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hapana .shida ni kuona wewe ndo unafanya cha maana ila wenzio wanazunguka tu.haujui watu wanafanya nini kwenye maisha yao.sio lazma wote tuwe wakulima wa dragon.au mimi ninachofanya basi ndo nione ni bora kuliko wanachofanya wenzangu sio sawa.Ukweli huwa hamuutaki?