Kilimo cha kabichi

Jman

Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
39
Reaction score
2
Habari wana jf, naombeni msaada, Nataka nlime kabichi mwezi wa febr, ila tatzo cna wenyeji wa kupata shamba nahtaji nus hecta ya kukodi. Maeneo ya kisarawe au chanika na pia hata mkoa wa morogoro npo tiar
 
Kuna topic ilishapostiwa itafute,but cha nyanya sawa,nacho hakihitaji mvua nyingi,,kilimo cha umwagiliaji ni kizuri kinalipa
 
Habari wana jf! natafuta soko la kabichi, bado ziko shambani. Najarajia kuanza kuvuna tarehe 1/7/2015.

Shamba liko Mwanza Magu km4 toka Magu mjini, barabara inafika shambani na natarajia kuvuna matunda 10 000.

karibuni
 
siku hz kumbe na hand bag zinalimwa tumeendelea kwel
 
Bei ya soko huwa ikoje? Umejaribu kuwaona wauzaji sokoni? Je miezi hiyo itakuwa ndio msimu (hence bei mbovu kwa mkulima)


Tungekuwa Korea au kama inawezekana na kwa afya yako tengeneza kimchi kama cabbage zitabaki hio ni storage for life na utakula miaka na miaka
 
Mkuu kimchi ni nini?Huwa naona tu kwenye tamthilia za Wakorea.
 
Mkuu kimchi ni nini?Huwa naona tu kwenye tamthilia za Wakorea.

Kimchi ni Cabbage ambayo inakuwa fermented.., kwa afya ni nzuri sana ila wengi hawaipendi kama hawajaizoea sababu ya harufu...


https://en.wikipedia.org/wiki/Kimchi


How to Prepare Kimchi

[h=3]How to Make Cabbage Kimchi[/h]
How To Make Easy Kimchi at Home — Cooking Lessons from The Kitchn | The Kitchn
 
Spacing yake ni 50cm*60cm na ekari moja ina square meter 4000 hivyo utakuwa na niche 13333
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…