VeroEretico
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 512
- 398
Inategemea na gharama zako za uzalishaji mfano variable cost( aina ya mbegu, kama ni hybrid INA bei kubwa na ina high produce, mbolea, vibarua, umwagiliaji, madawa) pia solo lako likoje kama una solo la kila cabbage moja unauza 1000 hivyo utapata mauzo ya 13,333,333tsh kwa Shamba la ekari mojaMaelezo zaidi please makadirio ya pesa ya matumizi na mapato