Kilimo cha kabichi

Maelezo zaidi please makadirio ya pesa ya matumizi na mapato
Inategemea na gharama zako za uzalishaji mfano variable cost( aina ya mbegu, kama ni hybrid INA bei kubwa na ina high produce, mbolea, vibarua, umwagiliaji, madawa) pia solo lako likoje kama una solo la kila cabbage moja unauza 1000 hivyo utapata mauzo ya 13,333,333tsh kwa Shamba la ekari moja
 

Zina komaa kwa muda gani?
 
namaanisha wananchi wa kule ni moja ya kilimo chao kikubwa na wanalima kisasa pia wanapata mavuno mengi
so ungeenda ukaona ungeongeza jambo ktk ubongo wako
 
namaanisha wananchi wa kule ni moja ya kilimo chao kikubwa na wanalima kisasa pia wanapata mavuno mengi
so ungeenda ukaona ungeongeza jambo ktk ubongo wako

Na wanauzia wapo I mean soko lao lipo wapi hasa
 
soko mara nyingi wanauzia mashambani wafanyabiashara wa kariakoo/mabibo na ilala ndio wanunuzi wakuu
hufika mashambani na kuwanunuza
 
Habari zenu wakuu mimi ni mwajiriwa Mwanza ila nataka kuacha kuajiriwa nijiajiri, naomba mwenye kujua wapi naweza kupata eneo karibu na ziwani maana nataka kufanya kilimo cha umwagiliaji,

Na pia naomba mnisaidie mawazo ni zao gani ulimaji wake hauna complication sana, as ndio naanza najua changamoto zipo, lakini nitapambana nazo tu nikisaidiwa na wazoefu wa kilimo.

Japo kwa reseach niliyofanya nimeona cabbage na matango yanafaa, nisaidieni wakuu mawazo yenu.

Kwa anaefahamu maeneo mazuri ya kukodi karibu na ziwani anicheck.. 0622043964
 

Panga siku uende hapo magu kufanya survery,,.,,kuna maeneo mengi ya kukodi karibu na ziwa last year nilifanya kilimo cha umwagiliaji huko
Mengi utayajua huko,uwe mdadisi
 
Panga siku uende hapo magu kufanya survery,,.,,kuna maeneo mengi ya kukodi karibu na ziwa last year nilifanya kilimo cha umwagiliaji huko
Mengi utayajua huko,uwe mdadisi
Mrejeshooo
 
Ulifanikiwaa

Kiasi chake,,kulikua na mapungufu mfano sikupata mbegu bora,,,,usimamizi wa hovyo,,uongo wa msimamiz nk
Nililima nyanya,mahindi yale ya gobo na vitunguu tena vitunguu ndo vilitukomeshaaa
Nyanya nilipataa,japo nilikutana na changamoto ya soko
Mahindi sikupata mengi na bei haikua rafiki;
Vitunguu,,hasara kabisa
 
Pole ndo kujifunza. Siku nyingne utafatilia kwa ukaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…