Maji hata lita laki 5 kwa siku unapata bosiHiyo kisima inakupa maji kiasi Gani kwa wiki heka moja ya kitunguu kwa drip irrigation inatakiwa uwe na maji walau Lita 40,000 kwa siku
Kuhusu Bei November December Bei hua ni nzuri sana tu.
Na kulima kiangazi kitunguu kinafanya vizuri tu Tena kiangazi kinaenda haraka zaidi siku 90 tu umevuna.
Wastani wa mavuno kwa drip irrigation ni gunia 80 -100
Kila la heri
Hapo uhakika boss, naomba kazi nikufungie hiyo mifumoMaji hata lita laki 5 kwa siku unapata bosi
Mkuu vipi habariHapo uhakika boss, naomba kazi nikufungie hiyo mifumo
Salama mkuuMkuu vipi habari
Bila shaka wewe ni mfungaji wa dripp irrigation... kwashamba la miche 30000 ya nyanya gharama ya kufunga huo mfumo ni bei gani?Salama mkuu
mwaka huu umekaa vibaya..usiguse hilo zaoMbolea yenyewe bei mlima!, ukulima sometimes ni kubet tu.
sahihi kabisa mkuu.mwaka huu umekaa vibaya..usiguse hilo zao
Unfanya sh ngapi kwa ekari? 0623883Hapo uhakika boss, naomba kazi nikufungie hiyo mifumo
Umekaa vibaya kivipi na kwanini asiguse?mwaka huu umekaa vibaya..usiguse hilo zao
bei za mbolea,mafuta na pembejeo kwa ujumla zipo juu kuliko bei ya hilo zao sokoni.Umekaa vibaya kivipi na kwanini asiguse?
Hiyo ni fursa. Inamaana wakulima wengi wasio na nguvu watashindwa kulima, kwa hiyo wewe lima.bei za mbolea,mafuta na pembejeo kwa ujumla zipo juu kuliko bei ya hilo zao sokoni.
Kiongozi kwema??Hapo uhakika boss, naomba kazi nikufungie hiyo mifumo