Kilimo cha kontua

Kilimo cha kontua

ndonji

Member
Joined
May 13, 2023
Posts
8
Reaction score
10
Habari zenu wakuu! Kama kuna mtu anaweza kunielewesha aina hiyo ya kilimo(kontua) naomba anisaidie. Ukitupia na picha itanisaidia kuelewa zaidi.
 
Habari zenu wakuu! Kama kuna mtu anaweza kunielewesha aina hiyo ya kilimo(kontua) naomba anisaidie. Ukitupia na picha itanisaidia kuelewa zaidi.
Aina hii ya Kilimo hutumika hasa maeneo yenye muinuko mkali(milima) kupunguza mmonyoko wa udongo, upotevu wa maji na virutubisho vya udongo. Pia ukiingia google Kuna maelezo mazuri na picha kuhusu contour farming.
 
Attachments

  • Screenshot_20240407-214459.jpg
    Screenshot_20240407-214459.jpg
    743.1 KB · Views: 12
Back
Top Bottom