Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aina hii ya Kilimo hutumika hasa maeneo yenye muinuko mkali(milima) kupunguza mmonyoko wa udongo, upotevu wa maji na virutubisho vya udongo. Pia ukiingia google Kuna maelezo mazuri na picha kuhusu contour farming.Habari zenu wakuu! Kama kuna mtu anaweza kunielewesha aina hiyo ya kilimo(kontua) naomba anisaidie. Ukitupia na picha itanisaidia kuelewa zaidi.